Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Mpaka anakuja huyu mwanaume sikuwa nimefanya mapenzi kwa miaka miwili, uone tu jinsi ninavyojiheshimu.
Hivi kinachokusumbua ni nini? Mbona wanaume tuko wengi? Mchunie huyo fa.la, anakuona gunia la mazoezi aka kipoozeo pale anapokuwa hana mtu amtakae, mmwage uendelee na yako na isikuume kabisa labda kama unataka kuendelea kutuletea post zaidi kuhusu maumivu atakayokusababishia.