Huyu jamaa akirudi tena kulia lia kwako utampa papuchi.
The hell no!!!
huna lolote subiria tena udanganywe.
kwanini wanawake mnakosaga misimamo?
Huyu jamaa akirudi tena kulia lia kwako utampa papuchi.
The hell no!!!
Halafu watu cjui hawaelewi au nivipi ukweli nihuu Mapenzi yakweli niyale ya mwanzo lkn mkipoteana then mkutane uctegemee kuwa km zamani huwa naangaliaga hata ushauri mwingi unaotolewa humu khs watu waliotemana Kuwaambia warudiane fyn mnaweza kurudiana lkn hakuta Kuwa na mapenz mtaishi kwa mazoea tu,,nakuckitikia ww mdada hata km huyo jamaa angekurudia kweli lkn ucngefurahia mapenzi Mapenz yanakuwaga matam pale ambapo kila mmoja hajui mapungufu ya mwenzie
Maneno yana ukweli Fulani.