Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,153
inabidi tu tuamini maana hakuna namna (in the voice of PM)
Sasa wewe hilo unaliona gumu?
inabidi tu tuamini maana hakuna namna (in the voice of PM)
Sasa wewe hilo unaliona gumu?
Pole mwaya ndiyo unakomaa hivyo,
Baadae hawatakusumbua kabisaaa...!!!
Maana moyo utakua ushapoa, wa baridiiiii.
Kikubwa,asiwe kakuachia Magonjwa au mtoto ambaye hutakua na furaha nae.
Jamani kama kuna kutendwa mie nilitendwa jamani!! LAKINI SIO NA MUME WA MTU. (Uzuri hakuna ex wangu alieoa hadi nimeanza mimi) Yani hiyo ya kuachwa na kurudiwa ni mbaya mno! Usirudie tena, Mahusiano yakiisha yameisha hata ubembeleze vipi.
Usirudie tena, yani natamani nikuambie huku nakutazama usoni. Wanaume wana tamaa mno, na ukishaona anakuletea matani yenye giza mkimbie mapema.
Nahisi sitamaliza hapa.
Siyo siri nilimpenda sana, nikadhani this time round amemiss penzi langu.
Dont be unecessarily mean and rude. Muwe na huruma ndugu zangu, itikadi za BOYS TO MEN hapa zinamnyongonyeza victim.
Yaani hicho kinaniuma Zaidi, alipokuwa BF kwa zamani tulivaa mpira, juzi ilikuwa kavu!!!
Miaka miwili? Aisee nyie wanawake huwa mnasema ukweli au tunadanganyana hapa.Mpaka anakuja huyu mwanaume sikuwa nimefanya mapenzi kwa miaka miwili, uone tu jinsi ninavyojiheshimu.
Hayo ndio yanaitwa maisha, one mistake two goals, mwenzio alikuwa anatafuta kipozeo maana Dar baridi. Kutoa pichu sio guarantee, ndio shida ya kuongozwa na moyo zaidi kuliko ubongo
Pole sana, it's not the end of the world.Move on
only prostitutes get paid for sexPole shogaaa! MEN ARE DOGS! mbwa unamfuga mwenyewe ukimchekea bado anakubwekea mwenyewe. Shwainiiiiiii
Mi mwenzio shogaaa siku hizi bila kuiona pesaaaa hivi, sitoi CHIU! Yaani SITOIIIII. I love you zijae kiroba na kumwagika, chupi imetulia kiunoni. Ukicheka na wanaume watakukopa kila siku bila riba. Ooooooohhhhhh! Mtu hata nimpende vipi asipojiongeza kufungua pochi tutapiga story basi. Chezea wanaume wewe.
Ila wanaumewema wapo wapo wachache wakuhesabu. Nashukuru Mungu jf humu miaka 3 juzi ndo kuna danga moja nimelibaatisha juzi, lilikuwa siku nyingi linajiongeza ila nikawa sijalichukulia serious, toka 2012 juzi hapa ndo nimeligundua, kila siku linanitoa 100,000/=. Nikifanya koooh 100,000/= hii hapa. Niseme nini. Hanijui simjui, haliombi chiu wala nini. Just kindness. Sahivi nimeambiwa nitafute biashara anikopeshe hela mpo hapoooo? Haloooooo! Mtu na nyota yangu. Humu humu JF wala sio mbali. SO GOOD MEN ARE STILL THERE ILA NDO ONLY FEW. Hili danga likiendelea hivi nitalifosishia chiu kwa nguvu tka lisitake.:becky: Na silitaji ngoooooooooo hamkawii kuni overtake! Hangaikeni na hayo hayo masanturaaaa ya mkopo!:becky: Ngoja niishie hapa mdomo uliponza kichwa! Okay Bye!
only prostitutes get paid for sex
Siyo mume wa mtu ndoa imesambaratika kama ni mahusiano yatakuwa mapya, mvua zilianza kunyesha siku ya mwisho kabla hajaondoka kwahiyo mimba hakuna. Asante sana.
Mpaka anakuja huyu mwanaume sikuwa nimefanya mapenzi kwa miaka miwili, uone tu jinsi ninavyojiheshimu.