Amejificha au wamemficha?

Amejificha au wamemficha?

Duh...!
Tatizo ni kwamba rais bado atakuwa mpemba, mana yule jamaa sio mtu wa Dodoma wala sio mkristo
Hata Chinga, hakuwa Mtanzania pure na hakuzaliwa Tanzania!, ila mama yake ni Mtanzania na anatumia jina la ubini la kikeni, baba yake ni wa kule kwa jirani!, lakini alituongoza vizuri!!

Yule Blaza wangu, pia hakuzaliwa Tanzania, baba yake sio Mtanzania, Mama yake ndio Mtanzania, jirani akamtwaa akamvusha mpaka, akamzalisha watoto wawili, huko huko kwa jirani, akamzengua dada yetu, dada yetu kwa hasira, akasomba wanae wawili, akarejea nao Tanzania, na kurejea kwa wazazi wake. Akatokea mtu, akafika bei, akaposa, akaoa, hivyo akawaacha wanae kwa babu yao, yeye akaenda kwenye ndoa yake. Watoto wale pale kwa babu, hakuna kusoma, wa kike ni kazi za nyumbani, wa kiume ni kuchunga tuu mbuzi wa babu!.

Mama huku kwenye ndoa mpya, akaanza kuumia kwa jinsi watoto wake wale wawili wanavyoteseka kule kwa babu yao, hakuna cha kusoma wala nini!. Ndipo mumewe aka notice simanzi kwa mkewe, akamuuliza mke akafunguka, sio unajua tena kabila letu ndilo linaloongoza kwa kupenda, ukipenda boga, unapenda na ua lake!, mume akaridhia, ndipo watoto wakaenda kuchukuliwa kwa babu na kujiunga na familia mpya ya mama, yule wa kiume akaandikishwa shule kwa majina ya baba wa kufikia, akawa Mtanzania, akasoma hadi kuwa vile!, si ametusaidia sana ?!.

Haijalishi asili yako ni nani, wala baba yako halisi ni nani, as long as wewe ni Mtanzania, it doesnt matter!, huyu kweli ni Mpemba na ni Muislamu, akazaa na Mpemba na mtoto alizaliwa Muislamu, hana chogo!.. Mama yake akapendwa na huyo baba,, akabadili dini kuwa Mkristo, akaolewa huku, na huyo baba kwa kupenda boga na ua lake, mtoto akabadilishwa dini, na kubadilishwa jina, akawa Mkristo, as long as hivyo ndivyo anavyojulikana sasa, na safari hii ni zamu yetu, na jamaa ni Mkurasini, hatuna tatizo naye!.

Na iwe!.

P
 
Kuna muhuni anaitwa mudi boy ,tapeli ndiyo wanafuata muongozo wake , KWAMBA HUYO NCHI WAMZAMISHE KABISA NA KUMCHOVYA CHOVYA KWA KUWA MUDI BOY KASEMA UBAWA MMOJA WA NZI UNA MAGONJWA NA UBAWA WA PILI NI DAWA ...@adriz Malaria 2 Jagina

wewe nenda kashuhudie mchungaji wako akipaa kwenda mbinguni , haya mambo si saizi yako .

nakuwekea hii moja tu ziko reseach nyingi tu zimethibitisha hiyo Hadithi kuwa ni kweli.

http://www.scielo.br/j/bjm/a/FCPJVWzRJ4996wWyTFjJJnP/?lang=en
 
Back
Top Bottom