Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,418
- 29,728
Yani hapa ni KATIBA mpya tuu... Hakuna lingineTatizo hata akikatamoto bado tatizo lipo pale pale maana makamu ni wale wale tu
Yani hapa ni KATIBA mpya tuu... Hakuna lingineTatizo hata akikatamoto bado tatizo lipo pale pale maana makamu ni wale wale tu
Wabongo bana.
Akifa then wat?
Afe kwanza ndo utajua hiyo .."Then wat?" Shetani hatakiwi kuishi hata mara moja..Wabongo bana.
Akifa then wat?
Ila nini kinajiri?Only the truth will prevail, hata wabane vipi, wata bana, wata bana mwisho wataachia!.
Hakuna aliyejificha wala aliyefichwa!.
P
Lazima kimwili na kiroho kuwe na shida, maana mwili na roho vinakutana na heka heka kila uchao. Na kwa age kama ile misikosuko ikizidi sana jau.Maza uongozi wake ushakuwa na na nuksi, heka heka kibao. Mara hili, mara lile, kafa huyu, kafa yule. Toa huyu, weka yule. Ua huyu, ua yule. Mashambulizi kila angle. Ni kama kuna kimav* hivi.
Lazima kimwili na kiroho kuwe na shida, maana mwili na roho vinakutana na heka heka kila uchao. Na kwa age kama ile misikosuko ikizidi sana jau.
December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Dah sijaelewa kitu ndugu zanguSote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka wa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Eda ni siku 90 jamani.Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka wa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Mkuu upo nchi gani?Dah sijaelewa kitu ndugu zangu
Hahahaha 😂 😂 😂 😂Na charger😂
Yesu yupi anaruhusu kiongozi anayeuwa watu wake.Mshindwa ktk Jina la Yesu
Nani huyo?Twachotaka na kusubiri ni WAMALIZANE!
Halafu mdanganyika wetu atoke lupango kutuokoa toka kwa hawa WAHUNI na MAJAMBAZI YA TAIFA!
Kumbe anaumwa?Mkuu upo nchi gani?
Ina maana hujui kuwa chura kiziwi yupo kitandani
Waambie ndugu na jamaa zako wazidishe maombi ili aondoke kabisaa dunianiKumbe anaumwa?
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.....wewe nenda kashuhudie mchungaji wako akipaa kwenda mbinguni , haya mambo si saizi yako .
nakuwekea hii moja tu ziko reseach nyingi tu zimethibitisha hiyo Hadithi kuwa ni kweli.
http://www.scielo.br/j/bjm/a/FCPJVWzRJ4996wWyTFjJJnP/?lang=en
Kama kuna mtafiti kapoteza muda wake kutafiti huo ushuzi wa mudi boy na Allah wake..basi huyo mtafiti lazima atakuwa na geto milembe.wewe nenda kashuhudie mchungaji wako akipaa kwenda mbinguni , haya mambo si saizi yako .
nakuwekea hii moja tu ziko reseach nyingi tu zimethibitisha hiyo Hadithi kuwa ni kweli.
http://www.scielo.br/j/bjm/a/FCPJVWzRJ4996wWyTFjJJnP/?lang=en