Amechoka kutendwa anahitaji mume

haya wana JF Crispin, Fidel, na wengine haya sasa mshindwe nyinyi

Dah nashukuru sana kwa kunifikiria mm kwanza.
Nimepiga simu ipo busy balaa wadau naona tayari wamesha nizidi kete vp tunaweza ongea pembeni?
 
Rafiki usifanye kosa lakutoa No. Yako katika mazingira haya. Kuna njia nyingi sana za mawasiliano zikiwemo pm's. Otherwise all the best in looking for a husband here. be ready for hundreds of aplicants! good enough you have provided your mobile no. hata hao wanakuponda watakutwangia tu!!

Na wewe si ulikuwa unatafuta mchumba? Vipi ulifanikiwa? Mbona hutupi matokeo?
 
Haya . Mume wa kukuendeleza kielimu ?
Asivute sigara ..................
Anayeshaurika.................
Mwelewa ......................
Poa . Kila mtu huficha mapungufu yake wakati wa uchumba. Unaweza kupata baadhi ya unayotaka lakini nina uhakika una ulioyaacha. Hayo uliyotaja na ambayo hukutaja yanaweza yakawa ndio sababu unatendwa halafu unasema ni wababaishaji. Kwani ukimpata wa hivyo then akabadilika kwa mfano akaanza kunywa pombe, sigara na women, etc amabapo wewe unaweza ukawa ndio sababu, hizi criteria zitakuwa na maana gani.?

Btw mume mwema hutoka kwa Mungu. Ni mtizamo tu lakini.

Anyways, jaribu tu na ukishampata utuhabarishe hapa jamvini.
 
Rafiki usifanye kosa lakutoa No. Yako katika mazingira haya. Kuna njia nyingi sana za mawasiliano zikiwemo pm's. Otherwise all the best in looking for a husband here. be ready for hundreds of aplicants! good enough you have provided your mobile no. hata hao wanakuponda watakutwangia tu!!
Btw, vipi wewe Dorin mbona hujatupa feedback? kati ya hao hundreds applicants ulipata hata mmoja?
 
Btw, vipi wewe Dorin mbona hujatupa feedback? kati ya hao hundreds applicants ulipata hata mmoja?

No I just Discovered that this is not the best way kupata mchumba! Sihitaji tena mchumba wa humu m2 wangu.
 
Tatizo anaposema hachagui dini sina uhakika nalo kwani tujuavyo sisi waluther ndoa njema ni lazima iwe ya dini moja kama mkristo kwa mkristo au islam kwa islam na pagan kwa pagan.Tunataka kulea watoto katika maadili ya pande zote kwa baba na mama sasa wakiwa dini tofauti inakuwa mtihani mkubwa kwa watoto.

Pengo, mtoto wa kike akishafikia hapo ujue katumika ipasavyo sasa amechoka anataka kutulia, hapo kwa kweli uchaguzi/UBAGUZI wa dini kwake unakuwa haupo kabisa. Atamsubiri huyo mlutheri mpaka lini? asipokuja? siku hizi bana mapenzi hayaangalii dini wala nini, watu wanaoana tuu, muhimu ni mapenzi ya kweli kuliko kuwalazimisha kuona kwa kufuata dini wakati hakuna mapenzi ya kweli.
 
mapenzi ya kweli na used??????????????? uliwahi kuona wapi??????????
tena kakiri mwenywe alikuwa akiendeshwa kwenye barabaa za vijijini................... leo anataka kumalizia mashine kwenye barabara ya lami tena bila hata kukagua wheel alignment/balance (kupima ngoma)....................... hahahaaaa, mtaliwa sana mwaka huu!!!!!!!!!!!!!!
 
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

Mama kwa masharti unayotuwekea just know huwezi kuacha kutendwa. Love is not about seting limitations on choices but leting your heart feel free to love anyone hata awe mfupi au mwembamba. What if Mungu amekupangia real love wako awe wa miaka 24-26 na ni mwembamba sana? Huoni kuwa utakuwa unakwenda kinyume na mipango ya mungu halafu utathubutu kumlaumu yeye kwa KUTENDWA?

Kumbuka wahenga wanasema Mchagua Nazi Mwisho hupata koroma!!!
 
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

pls tuma na picha kabisa ikibidi na video clip biashara matangazo eti ilikurahisisha
 
Huyo yupo kikazi zaidi ama nini? kaanika kabisa na namba zake za simu. Zimesajiliwa tayari?

Kuna mmoja aliwahi kutoa namba za simu hapa akaja kulalamikia usumbufu...nina wasi wasi na hili kutokea tena

kaamua kiukweli kweli kusaka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom