Ameanza Tundu Lissu nchini Ubelgiji kisha impact yake ikawa Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka na kisha straight Ikulu kuzungumza na Rais....

Naamini kupitia mazungumzo yao jana Samia personally amepata wasaa wa kumfahamu Mbowe ni mtu wa aina gani, sio kusikiliza ushauri wa wasaidizi wake waliompoteza walipomdangqnya wana ushahidi wa kutosha kumfunga Mbowe.

Hapo ndipo kiini cha mazungumzo yao yalipokuwepo, kila mmoja anajua mwenzake anahitaji nini, na ni jukumu lake kuhakikisha anafanikisha hitaji la mwenzake kulingana na nafasi aliyonayo, akienda kinyume na mapatano pasiwepo na kisingizio chochote wala kubambikiana kesi, watanzanja wanaona sio wajinga.
Ndio maana Lissu yeye alivyotoka akayamwaga yote kwano hakukuwa na haja ya usiri
 
Alikoswa koswa sana. Bila msaada wa wakenya tungeshafanya R.I.P kitambo
Yule baba alikuwa ana roho ya kikatili sana? Ila kitu kizuri ni kwamba mwishoni kabla mauti hayajamfikia idadi ya watu waliokuwa wakiokotwa katika viroba ilipungua. Huwenda kabla ya kufa alitubu
 
Yule baba alikuwa ana roho ya kikatili sana? Ila kitu kizuri ni kwamba mwishoni kabla mauti hayajamfikia idadi ya watu waliokuwa wakiokotwa katika viroba ilipungua. Huwenda kabla ya kufa alitubu
mipango yake mingi ilikuwa inavuja ikawa inafeli
 
Back
Top Bottom