Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #101
pesa si tatizo na hivi mrs the boss upo basi mambo hayatoharibika. Lol
atafanyaje sasa keshajikuta mamaa the boss
pesa si tatizo na hivi mrs the boss upo basi mambo hayatoharibika. Lol
Mweeeh wewe na king'asti mmenichukulia maneno yangu mdomoni
Love is in the air ....
Weldone you two ..
I'm just waiting for pilau & kachumbari
daaah hawa maharusi wamelazimishwa nini..............kila mmoja anaonekana hataki kugusana na mwenzake
pole kwa kupenda
kabaka bana... Excellent.
Best couple ever.
kwa hiyo michango haitatuhusu sio?
soda hunywagi?
Soda ni mbaya kwa afya yangu.
Bia doctor wangu ameniruhusu.
Kinywaji gani nikutumie ..?
alialialiiiiiiiii motttttttttttttttttttttttttttttttttttttooooo moto moto wifi moto moto moto moto wifi moto moto.
Mkuu bahati ya mtende hiyo
Haya kakangu zari la mentali hiyo,kitu kinataka kikumiliki duhh aise mpaka raha!!!
watakutana baadae tena kwa raha zao mpaka ... 🙂
kwa jinsi michango yako ilivyo inaonesha tayari mlishakuwa wapenzi kitambo hivyo umeanzisha uzi kuweka wazi hapa jamvini.
Hongereni sana!![/QUOTE
Soma btn lines huyo ni the same person. Shituka oohh
kwa jinsi michango yako ilivyo inaonesha tayari mlishakuwa wapenzi kitambo hivyo umeanzisha uzi kuweka wazi hapa jamvini.
Hongereni sana!!
kwa jinsi michango yako ilivyo inaonesha tayari mlishakuwa wapenzi kitambo hivyo umeanzisha uzi kuweka wazi hapa jamvini.
Hongereni sana!![/QUOTE
Soma btn lines huyo ni the same person. Shituka oohh
Nimeisoma DA
Multiple ID??!! Mpaka unajichanganya mara mwanamke mara mwanaume i.e Kongosho??! Aibu gani hz? Be smart plz