Am back again

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,319
2,000
Jamboooo!!
kwa muda kidogo nimekuwa nje ya jf na mara chache sana kuwa msomaji zaidi wa coments za wadau jf bt for nw FIRST BORN is back again.
Ninafurahi sana kwa sababu pia naziona ID mpya mpya ambazo most of them nahisi ni wale wadogo zangu ambao wanasubiri post za kwenda form five na vyuo mbalimbali (form four leavers) kulingana na michango yao inayoendana na umri wao (mawazo ya kiadolesence), bt we love you, jf ni yetu wote, bt jifunzeni kwa wakubwa zenu tulioliona jua kabla!

Heshima kwako;
The boss, mentor, mr. Rocky, bujibuji, NN, Asprin (babu), malaria sugu, bigrita, nk

bila kusahau dada zangu, AshaDii, afrodenzi, lizzy, mamdenyi na wengine kibao.

Tupige kazi tuache majungu.

FB.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom