Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.

Video inazungumza...



-Kaveli-
Kwa wale ambao Bongo zao zinafanya kazi ku digest mambo kwa kina wanamwelewa jamaa!!

Huo sio wimbo Wala jogging Wala kusaka teuzi Bali ndio ukweli wenyewe "huyo" ni kweli ni huyo!na siku zake kweli zinahesabika na mhusika anamjua fika sio kwa Bahati mbaya!!
Siku Hilo fisadi likianguka mtakumbuka huu wimbo!!

Mungu ibariki Tanzania
 
Utateseka sana kama kwenye siasa za Tz umeibuka pekeyako from no where umehustle kivyako hadi ukafika mahali bila kuwepo kwenye royal family. Utafanya mambo kama mtu aliyechanganyikiwa ilimradi “uonwe”.

Wanaume tunaheshimu sana hustle zenu, ila najiuliza mtu kama huyu (Siye aliyeko kwenye clip) akiambiwa avue ya ndani ainame ili yake yamuendee sidhani kama atajiuliza mara mbilimbili. 🗑️🚮

Kama nchi sijui nani atatutoa hapa tuwekeze kwenye taalumu, la sivyo vijana watadhalilika sana, SMH!
 
Back
Top Bottom