Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
- #61
ah ah! nimeuliza tu, kuna machinjio ya Wanaume haya yao ni hatari sana kwasababu wanakua wamekomaa, ila machinjio ya Wavulana haya ya kawaida sana kwasababu wanakua hawajakomaa, kuepusha kuwakomaza kuna machinjio yao, chaguo ni lako Mkuu!
mmmmmh!?.... KIZUNGUZUNGU- Erickb52
ngoja nijiweke kwenye kipimo kwanza ntarudi kukupa jibu mi napaswa wap kati ya hayo
Last edited by a moderator: