Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Habari zenu wapendwa,natakia x-mass njema,niko njian naelekea Moshi kwetu km ilivyo desturi yetu,niko ndan ya Dar express nahitaji maombi yenu tufike salama,nawapenda wote.
Habari zenu wapendwa,natakia x-mass njema,niko njian naelekea Moshi kwetu km ilivyo desturi yetu,niko ndan ya Dar express nahitaji maombi yenu tufike salama,nawapenda wote.
rejao anasema kuna bonge la foleni maeneo ya mlandizi kwa hiyo kuwa mvumilivu na wale wote wanaojipanga barabarani watu ndio waja hivyoo..
safari njema cantalisia, umsalimie lema, mushi, mbowe na swai.
Ukirudi mjini niletee ile kitu yenu ya kuchangamsha ubongo. Unaenda Moshi pande zipi?
Nimekaa nyuma yako siti namba 40
Nimekaa nyuma yako siti namba 40
Acha kamba!dah hivi kumbe tupo wengi humu ndani ya basi....hebu tupa macho hapa #26.....
mkuu mwisho wa safari ni mail sita babangu!
Acha kamba!
Jamaa yako hakupati kwenye simu, amesema ukitoka Njiro mpitie pale opposite na General Pharmacy, yuko kule basement floor!
Acha kamba!
Jamaa yako hakupati kwenye simu, amesema ukitoka Njiro mpitie pale opposite na General Pharmacy, yuko kule basement floor!