All JF members... Happy Holidays...

Hahahahaaaa! Mangure, Busa & Kideko??? Walah tena wewe lazima utakuwa wifi angu, tena wa damu kabisa...umenikumbusha deshi deshi ( hapa wanakodoa macho takujazia baadae) nae yupo anapata mangure mida hii si unajua mjasiri haachi asili na akiacha asili hana akili...lol. Nyumbani ni nyumbani bana asikwambie mtu... Karibu this time ujivinjari na chibuku..

hahahahahahaha..
Hayo maji matamu ndo yaliyotupeleka shuleni eti..
Nikijifanya siyajui sasa basi sintokuwa na tofauti na wanyama ..

hahahah
Manguru ukinywa ni kama Mbege eti..
unapuliza ule mtama wa juu juu nyuma halafu
unaweka kedeku kwenye lips ndo chujio hivyo hahaha.
Nyumbani raha jamai.. ...

Halafu kuna Wanzuki hahahahahahah
loohhh sijui ni kwa nini nacheke mwenyewe
kama kichaa hapa hahahahah .. sante dear
 
Asante Afro!
Naomba unifundishe kuchora ivo
Kila siku na-admire kimya kimya
leo naku-PM

hahahah haina neno kabisa..
ukiwa na muda. ntakuonyeshea ni rahisi sana..
Ubarikiwe sana.. Na nnakutakia furaha na baraka zote ...
sante sana mamake..

Karibu Dada Mkuu,

Kwa leo asiyeshangaa basi hata ukimfikisha ferry hataona kitu...

Naona umenasa kwenye mtego wa AD......

Jifunzeni mje kumpa burudani babu!!

hahahahah
Babu unapenda kurembwa na wajukuu ae..

Hah hah ! Kumbe na wewe una admare ... Sema usikike!! Lol! Utapata msaada! Na tafadhali Msaada unifikishie !!

hahahahahah
AJ jamani .. Itabidi nikuandikie kitu
kwenye Profile yako .. Ili uwe nayo for ever and ever ..
hahahahah

Tena AD akinifundisha tutakuburudisha huku tukikung'oa ndevu zenye mvi

hahahahah
Kongoshoo kumng'oa tena..
akilia mi sipo hahahahah..

Kana ni program anipe at any cost
Kama ni utundu basi anigawie
nimechoka kuvumilia, ananirusha sana
ananikalisha kwenye tuthpick kila siku

Ni utundu tu ..
hamna class wala program yeyote hahah..

LooH! Si unaona anavyozidi kushukaaa

... hapa kuna ka program etc.. hope atatusikia na kumaliza kiu yetu ujuzi! Lol

hahahahahahah
mnanichekesha eti ..
acheni bana..
 
Asee....
Thanx AD....wewe ni wa ukweli....
Happy holidays to u!


sante sana mkuu RR.......
Ubarikiwe sana
0101.gif

 
Asante saaaaaaana Dada yangu. Happy Hollidays to you. Enjoy ur New Year. May God Bless uuuuu.

Karibu tena kakaake..
Hopeful umemaliza hiyo Xmass shopping .
na sasa unaingojea tu kwa hamu hahahha
Na kutakia kila lakheri kwa msimu huu wa sherehe
na kila lakheri kwa mwaka mpya wa 2012.



0047.gif

 
Thanks AD....nawe pia uwe na wakati mzuri....pole sana kama bado utakuwepo kazini........


Jamani Preta ujue hata mi niko kazini........natamani kulia. Nimejaribu kila kitu nachoweza kufikiria ili niende likizo lakini wapi.......:smash:

Hujambo lakini..............nimekumiss................... asante kwa msaada
 
Asante sana dia.........na kwako pia. Nimependa creativity yako.......iko njema sana.
 
Karibu tena kakaake.. Hopeful umemaliza hiyo Xmass shopping . na sasa unaingojea tu kwa hamu hahahha Na kutakia kila lakheri kwa msimu huu wa sherehe na kila lakheri kwa mwaka mpya wa 2012.
0047.gif
Hehe, my sis... Sijapiga shopping, mi mwenyewe nalitegemea BOOM la HESLB, Unataka nifilisike ehh? It´s a joke!!!!!!!!!!!!!!!!! Asante sana. Happy 2012 to u
 
Jamani Preta ujue hata mi niko kazini........natamani kulia. Nimejaribu kila kitu nachoweza kufikiria ili niende likizo lakini wapi.......:smash:
Hujambo lakini..............nimekumiss................... asante kwa msaada

duhhhh
Pole sana dear..
tuko kwenye chungu moja..
Ila kuna makazi mengine haya Xmass, Iddi wala New year..
Ni kazi tu 24/7 ... Nway I guess itakuwa vema tukitabasamu tu..

Asante sana dia.........na kwako pia. Nimependa creativity yako.......iko njema sana.
Karibu tena..
Pole na kazi na kila lakheri kwa mwaka 2012..
.
0007.gif

 
Surely !! Please niandikie ... will highly appreciate it !!

Lakini mhh! I will be kin to know exactly what buttons you press to bring out all this!!

Ngoja niende sasa..
nisije kusahau buree..
Na usijali kabisa ukitaka kujua yote
haya I'm more than happy to show you
..:)
 
Hehe, my sis... Sijapiga shopping, mi mwenyewe nalitegemea BOOM la HESLB, Unataka nifilisike ehh? It´s a joke!!!!!!!!!!!!!!!!! Asante sana. Happy 2012 to u

Hahahahahahhaha lol
Haya bana ..Umenichekesha kwa kweli ..
Kila lakheri na mwaka ujao dear ..
 
duhhhh
Pole sana dear..
tuko kwenye chungu moja..
Ila kuna makazi mengine haya Xmass, Iddi wala New year..
Ni kazi tu 24/7 ... Nway I guess itakuwa vema tukitabasamu tu..


Karibu tena..
Pole na kazi na kila lakheri kwa mwaka 2012..
.
0007.gif



Kwa ruhusa yako nimeanza kutabasamu na kuishi upya. Ubarikiwe dia na uwe na msimu mzuri wa sikukuu. :typing:
 
Ngoja niende sasa..
nisije kusahau buree..
Na usijali kabisa ukitaka kujua yote
haya I'm more than happy to show you
..:)


Loh! I cant agree this .. kwanz aumefikaje kule .. !! you must have something special..Lol!

Hah hah dont tell me you don have my pass word eh?
 
ukuwe na holiday njema pia na wewe AD, halaf nakuombea mkakati wako wa ku loose weight mwaka mpya ufanikiwe. Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom