All JF members... Happy Holidays...

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
0275.gif

Ni muda ule wa mwaka tena,
muda ambao watu husafiri safari za mbali kwa ajili ya kukutana na wapendanao sana sana familia.
muda ambao wengi huchukua likizo au mapumziko kutoka kwenye shughuli / makazi yao .
muda ambao wengi wanachukua nafasi na kutafakari cha kufanya na walichofanya.
Ningependa kumtakia kila mmoja wenu likizo njema na baraka zote za msimu
huu. Kwa wale wenzangu na mie ambao bado tutakuwa makazini Poleni
sana. Ndivyo ilivyo.

0009.gif






0040.gif












 
Thanks AD....nawe pia uwe na wakati mzuri....pole sana kama bado utakuwepo kazini........
 
Thanks AD....nawe pia uwe na wakati mzuri....pole sana kama bado utakuwepo kazini........

Most welcome my dear ..
Dahhh nimejaribu kila technique kwenye
kitabu nisiende kazini lakini imeshindikana ..
Haina neno ( Someone have to work)
 
Sante Ad, iwe njema na kwako pia...


Karibu sana moshi kwetu, machalari yatakuwepo na mbege ya kushushia..lol

hahahahahha
Sweetlady Jamani acha kunitamanisha jamani..
Ni miss Mbege ile mbaya.. Dahh huko ndo kwa
wataalam wa kiti moto na ndizi choma kachumbari kwa
pembe mwehhh... ahhhh we nipe address tu my dear ..asante mpenzi
 
Thanks Afrodenzi,
NAWATAKIA KHERI NA BARAKA ZA MUNGU WANA JF WOOTE,

NAWATAKIA AFYA NJEMA,

UZIMA NA BARAKA TELE,

NAWATAKIA NEEMA ZA KIMUNGU,
ULINZI WAKE,
HURUMA ZAKE,

MUNGU AWALINDE NA KUWATUNZA, MSAFIRIPO, MUENDAKO, MRUDIPO.

Wish you;
Merry Christmas and Happy New Year!

Ibrah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom