Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

Wanawake hatujaumbwa kupenda Bali kuheshimu,
hili swala La kusema tunampenda mwanaume ndo limetufunga kitanzi.

Binafsi I learned in a very hard way.
Unajielewa sana wanawake wengi hawalijui hili ukitaka mwanaume umuone mchungu MDHARAU...!!
 
Ni mawazo tu lakini Huo ndio ukweli.. !! Hapa huyu mwanamkw atasema mabaya ya mumewe tuu.
Huwezi kulazimisha mambo ya Nafsi mbili!

Binafsi napokea mashauri Mengi ya mahusiano Ila suluhisho La Mwisho ni Baina yao wawili,
Mtu wa nje ukianza kuhesabia ubaya utaishia kuumbuka,

Siri ya mtungi aijuaye Kata.
 
Unajielewa sana wanawake wengi hawalijui hili ukitaka mwanaume umuone mchungu MDHARAU...!!
Siyo swala La Siku moja,inahitaji kufungua moyo na akili kukubaliana na ukweli,
ubaya wanaume wa karne hii hawatengenezi tens wake zao Bali nao wanashindana na mwanamke.

Fuatilia wazee walivyokuwa wanaheshimika katika jamii hata ya wake watatu,
ni msingi anaokuwa ameujenga,kwa kuwa wanawake wananata na biti.
 
Pole tena mkuu, na kwakuwa maisha yako tayari umetambua kwamba yapo mikononi mwako, basi sidhani kama nivyema kuvumilia hata unapo ona roho inakutoka just because of human being.

Uhai wako una thamani sana kwaajili ya mwanao mwenye uhitaji wako, na hata ndugu zako bado wanakupenda zaidi.

Sina la kukushauri, lakini niwajibu wangu kuku kumbusha kwamba maisha/pumzi yako ina thamani kubwa kuliko mtesi wako. Hapa namaanisha usilazimishe kuvumilia mtu/kitu ambacho unaona kabisa kwamba kinaweza kikakukatisha uhai wako.

Na kumbuka ningumu kukibadilisha kile unachoweza kukivumilia. Uvumilivu hatimaye hukupa ganzi na usugu. Uvumilivu usipite kiasi. Uvumilivu unaopita kiasi ni unyonge.
Ukisemamcho ni kweli mkuu... ila all in all.. KAMA KINACHOSABABISHA TALAKA KINA MCHANGO WAKE, NA HAJAJUA AMECHANGIA KIASI GANI HADI YEYE KUFIKIA HALI HII, basi atadai talaka kila atakakokwenda...
 
Huwezi kulazimisha mambo ya Nafsi mbili!

Binafsi napokea mashauri Mengi ya mahusiano Ila suluhisho La Mwisho ni Baina yao wawili,
Mtu wa nje ukianza kuhesabia ubaya utaishia kuumbuka,

Siri ya mtungi aijuaye Kata.
Yaani umeuwaa... maana washagombana kabla na wakaendelea...
 
Talaka ni ruhusa au amri ya mahakama ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzi wake. Mahakama ndio chombo pekee chenye
mamlaka ya kutoa talaka.

Pole sana mkuu
Chombo pekee????????
 
Yaani wanagombana wanaitwa Barazani suluhu haipatikani na bado wanaendelea
unafikiri unaweza kufanya chochote kwa hao watu?!
Mkuu....
Ebu ngoja niseme neno kwa uzoefu wangu.
Ukiona mwanaume na mwanamke wamekuwa na ugomvi, kisha wakashindwa kukaa chini na kuzungumza wao, basi mipaka ya usuluhishi inatakiwa iwe ni kwawazazi pekee.
Ikiwa wawili hawa hawato weza kumaliza migogoro yao kwa suluhishi la wazazi wao, basi hakuna sehemu nyingine yeyote inayo weza ikawasuluhisha kwa amani tena.
Na ikiwa watavuka mpaka wa wazazi na kuenda kusuluhishwa mfano na dini ama chombo cha serikali, basi amini hao watakuwa hawajapata suluhisho kwasababu lazima patakuwa na aina flani ya hofu wamejengewa na vyombo hivyo, na hata wakiendelea kuishi pamoja hapata kuwa na upendo tena kati yao.
 
Yaani mambo yakianza kuvuka tu mlangoni,
Ni Ishara ya kupotea kwa ule upendo wa awali na mapatano kwa ujumla.
wachache hurudi na kuwa Sawa Ila wengi...........!
 
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri

Dada kama mambo ya kuvumilika baki kwenye ndoa yako huku kwenye usingle sio kuzuri ......
Hiyo hali ya maumivu mpaka kuhisi kufa kufa ni hali iliyopo kwenye mapenz mengi cjui mume amecheat,sijui Kazaa nje vumilia dada , unaweza kudai muachane afu ndani ya usingle unaanza date mume wa mtu au ben10 ambae nae anakigf

Vumilia na usali sana, mkabidhi mungu mumeo na ndoa yako
 
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Hama mji mapema kabisa kabla hujafa. Kama unahisi kifo mbele yako, talaka inaweza kuwa daraja. Kimbia kivuli cha muuaji haraka, kaa mbali naye hakika.
 
Mmmmmmh, poleee kwanza rudi kwenu, huwezi kushugulikia taraka ukiwa nae ndani.
 
Dada kama mambo ya kuvumilika baki kwenye ndoa yako huku kwenye usingle sio kuzuri ......
Hiyo hali ya maumivu mpaka kuhisi kufa kufa ni hali iliyopo kwenye mapenz mengi cjui mume amecheat,sijui Kazaa nje vumilia dada , unaweza kudai muachane afu ndani ya usingle unaanza date mume wa mtu au ben10 ambae nae anakigf

Vumilia na usali sana, mkabidhi mungu mumeo na ndoa yako
Finest umesema neno la maana sana! kuna rafiki yangu wa kike yeye kila akipata mtu ni mume wa mtu!

Mi naamini hakuna lisiloshindikana,amani haiji kwa njia ya mtutu,ndio maana hata mataifa yakigombana only vikoa vya upatanishi na usuluhishi.

Shida ktk ndoa kuna wanaume mabwege sana,kuna wanawake mabwege pia,kuna wanume welevu na wanawake welevu pia, usipokubali kujishusha ktk migogoro na mkaongea kwa lugha nyepesi basi ujue ngoma nzito.

Sio wazazi wetu walikuwa bora zaidi ila walivumiliana sana na kubebana,kwa mfano kumkuta mama anapambana na baba kwa maneno makali ni nadra sana.

Kumkuta baba anampa kipigo mama hata mtaani huoni kabisa.

Tumeacha maadili yetu,haki sawa,we unitishi mwanume utakuwa wewe,we mwanamke gani sura huna nk.

Vipigo maneno na dharau vinazoofisha sana ndoa zetu.

Alafu bahati nzuri kizazi chetu sio ndio tunapeleka wenzetu kuwatambulisha kwa wazazi kuwa tumependana lkn enzi za wazee wetu walikuwa wanachaguliwa mke,ndoa zilidumu mnooo sijui tunakwama wapi kizazi hiki?

Kudharauliana,kutoheshimiana,kutovumiliana,jeuri ya fedha,kunyima unyumba nk ni moja ya matatizo makubwa sana ktk ndoa zetu.

Ukitaka umuone mwanaume mbaya mnyime unyumba na umdharau aisee ndoa iko hatarini.

Mwanamke ukitaka umtake ubaya kwa kizazi hiki umnyanyase,umletee umalaya,umdharau kisa pesa,umpige means mfume dume. wa sasa ni 50 50 japo ngumu sana kuipata dada zangu chukueni +ve vibes tu huko kwenye makongomano,mnafundwa vzr kwenye kitchen party mkija ndani mnasahau kila nafikiri huwa mnataka zawadi tu na makabati tu...!

Mwayego utampoteza mke kizazi hiki cha kike akipigwi wazee....ongea nae kwa busara.

Nina mengi ya kuwajuza mwezi November 2020 natimiza 10years ktk hii sector.

Nimeshuhudia mengi ya kwangu nawenzangu,nishauri tu mdada kama jamaa kazingua embu omba uende kwende kwenu upumzike kdg...

Ntaendelee next time, kuna mambo mengi sana ktk ndoa mazuri na mengine ya kuchosha na kukatisha tamaaa.

Kikubwa me tuishi kwa akili na ke,...! tuwapende,watatuheshimu au mtuheshimu tutwapenda..... mwanaume acha kuomba kupendwa na mkeo we kwani ni demu? embu kila mtu aplay part yake ktk maisha...

Alafu wanume mke jukumu la kulisha familia sio lake ni msaada tu wanatupa....sijui nataja mke mwenye kazi ili akusaidie kulisha si ndio?

Mie huwa nakopa kwake, nikichoka utasikia mzee huna hela we chukua laki hii nenda kwa wenzio upate mawazo mapya!

Ohooooo men tuishi nao kwa IQ
 
Dada kama mambo ya kuvumilika baki kwenye ndoa yako huku kwenye usingle sio kuzuri ......
Hiyo hali ya maumivu mpaka kuhisi kufa kufa ni hali iliyopo kwenye mapenz mengi cjui mume amecheat,sijui Kazaa nje vumilia dada , unaweza kudai muachane afu ndani ya usingle unaanza date mume wa mtu au ben10 ambae nae anakigf

Vumilia na usali sana, mkabidhi mungu mumeo na ndoa yako
Umempa ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom