Nahisi nitadondoka muda wowote
Namuwazia tu mwanangu ndo maana napata nguv ya kuamka asubuh
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Je wewe ni Kiranga?Unataka upewe talaka au utoe talaka,Talaka ni utaratibu mrefu sana ambao unaweza kukupa stress nyingine,Kama tatizo ni violence-Ondoka hapoupesi,
Kama Tatizo ni uzinzi-Shirikisha Wazazi/ndugu wa karibu/washenga kwanza,
Kama Tatizo ni Kipato,kaeni chini muyazungumze,
Kama tatizo ni wewe-Ondoka Hapo Upesi.
Kama tatizo ni yeye,Ondoka Hapo Upesi
Baada ya kufanya nilokwambia,Kama utaamua sasa kuvunja ndoa rasmi au kama utaamua tu kutengana naye(kupeana nafasi) itategemea na matokeo ya baada ya kuchukua hatua hizo.
Kumbuka kama ambavyo mlikutana wawili na kuanzisha uhusiano wawili basi ninyi wawili ndo wenye uamuzi wa mwisho kama bado mnataka kukaa pamoja au la.Usikae katika uhusiano ambao hauna afya kwako wala kwa mwenzako.Peaneni nafasi ili kila mmoja aone nafasi ya mwenzake kwake.
Kumbuka,Matatizo yote ya ndoa huanza na Mwanamke,ama kwa kuvumilia unyanyasaji wa mume mpaka unakuwa tabia,Ama kwa kumuendekeza mwanaume,Ama kwa kumpa msongo mwanaume,ama kwa kumdharau mwanaume,Ama kwa kumpimishia mwanaume,Ama kwa kutomuelewa mwanaume.
Ni muhimu ukatambua kwa hakika hali uliyo nayo sasa ilianza lini?Na ulichukua hatua gani kuikabili.Kama hukuchukua hatua mapema je unaweza kuchukua hatua sasa hivi.?
Je mko intimate na mwenzako?Je kuna mawasiliano na mwenzako?Je matatizo yenu yanafahamika kwa wengine?Je kwa nini unataka talaka?Unataka kuolewa tena,Unataka kuwa huru?Kuna mwegnie umpendaye?
Binafsi naeleza haya kwa uzoefu na uhakika hivyo basi jitahidi sana ufanye uamuzi wa uhakika?