Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

Tofauti na hizo blah..blah.. zenu za 1.5t kuna ufisadi upi mwingine? Hebu niambie hiyo system ya upigaji aliyokuja nayo!?

Halafu baada ya hapo tuje tufanye comparison na ufisadi unaofanyika awamu hii ambayo nyie wahanga mnaiona ndio awamu bora kabisa.
Tenda ya uwanja wa chato ambao kimsingi hauna mashiko unajua nani alipewa? Hat bei ya ndege alizonunua unajua bei yake? Hiyo ni mifano michache tu. Mtu mpaka anagawa nyumba ya serikalin kwa kimada,
 
Huyu naye alisoma uchumi wa wapi huyu?
-ungeanza kututajia vitu ambavyo vinakuza uchumi hususan kwenye manufacturing industries ambavyo magufuli aliviua!
-achana na uchumi hata aliyesoma jiografia kidato cha pili hawezi kukubaliana na wewe!
 
Tenda ya uwanja wa chato ambao kimsingi hauna mashiko unajua nani alipewa? Hat bei ya ndege alizonunua unajua bei yake? Hiyo ni mifano michache tu. Mtu mpaka anagawa nyumba ya serikalin kwa kimada,
Tupe ushaidi wa haya yote uliyoyataja hapa, usiishie kuleta ngonjera tu hapa ambazo zimekuwa zikitamkwa mara kwa mara na haterz wenzio wa Jpm ambao walibanwa mapumbu kama wewe.

Leta ushaidi usiokuwa na shaka.
 
Siku zote ukiona umeanza matusi nasi jua hoja zimekuishia. Na mara nyingi watu kama wewe huwa wamelelewa na single mother. Mtu aliyelelewa kwenye maadili hawezi kutoa matusi kama haya hata kama kakwazika vp sana sana anakudharau tu. Ila kutana na wale kama wewe, utaoga matusi yote na mwisho wa siku unaishia kumpuuza tu maana siyo kosa lako ni malezi ya upande mmoja
Huwa mara nyingi mimi sifichi hisia zangu pale ninapokereka na ujinga wa makusudi kama huu wako.

Nina kawaida ya kutumia lugha ngumu kwa watu wajinga wajinga maana naona ndio inayowastahili.

Huwezi ukasema eti sasa hivi tunaishi kwa amani kwenye huu utawala wa Idd Amin Mama na wakati ndio matukio ya kuogofya yametamaraki na kuna jeshi maalumu lisilo rasimi limetengewa na fungu lake kwa ajili ya kuteka na kuua watu likiongozwa na mtoto wa raisi.

Yaan hata watoto wadogo wanajua sasa hivi serikali ya samia imewatia watu hofu halafu wewe unasema eti tuna aman kulinganisha na enzi za magufuli, wewe ni lijinga... wapo haters kibao wa magufuli wenye akili huwezi kukuta wanamtetea samia, maana wanajua kabisa kwa samia hali imekuwa mbaya zaidi.
 
Kuna watu wao ni unchangeable, tayari Magufuli walishamuona shujaa wao. Hawa watu ambao fikra zao hazitaki kubadilika ndio wana mtindio wa ubongo
Kwa hiyo sasa umeimalika siyo, tatzo hata uchumi walio soma ndio masikini wengi, wao ulishawahi jiuliza ni kwann? Kuna wakati ya darasani huwa hayana uharisia na maisha yetu ya kila siku hasa kwa jamii za kiafrika.
 
Jiwe alikuwa hataki kuambiwa ukweli, aliziba midomo ya mtu yeyote aliyemkosoa au kumwambia ukweli. Unakumbuka hata kivuko feki alisema anawapa Jeshi ili mtu yeyote asihoji? Alipiga pesa sana na kuishia kuita watu wanyonge na wenyewe bila kujua waliimba mapambio yake
Hizo pesa alizo piga kwa sasa ziko wapi labda
 
Nadhani wengi humu mnaendeshwa na hisia za mapenzi binafsi, ila kiukweli kipindi Cha Mwendazake Sector binafsi ilikufa, wawekezaji walikimbia nchi, kazi za ujenzi kwa upande wa private company zilikufa kabisa kila kazi za ujenzi ilikuwa ni TBA, NHC, JKT etc.
Hakukuwa na ajira, watu walikaa miaka 6 wanasubiri ajira mpaka mama ndio kajakuajiri.
Alichofanikiwa ni Miundombinu -Barabara, madaraja, umeme na kuongezeka kwa wamachinga.

Najua Wasukuma wengi wanamtetea lakini ukweli lazima usemwe.
Eti na wapinzani Leo hii wanesahau walivyoiona joto ya JIWE kipindi chake,!
 
Mimi ni mkulima.kipindi cha jpm mazao yalishuka bei mengne yalikosa kabisa masoko.hali ya wakulima ilikuwa mbaya kwelikweli.cha ajabu alipoingia huyu mama hali ikabadilika ya wakulima.jpm tungekuwa maskn kwelikweli japo kwa upande wa watumish wa serikali nidhamu ilikuwepo kwelikweli.
 
Hizo pesa alizo piga kwa sasa ziko wapi labda
Mkuu unaishi duniani au mars? Yaani mtu apige pesa then aje akwambie sehemu alikoziweka? Hata Assad ile 1.5 tr hakujua jiwe kaipeleka wapi, aliishia kifukuzwa kazi alipotaka kufatilia. Same kwa Ben Saanane aliishia kupotea alipotaka kufatilia ile PhD ya Jiwe. Jamaa alikuwa na ubatili mwingi sana
 
Huwa mara nyingi mimi sifichi hisia zangu pale ninapokereka na ujinga wa makusudi kama huu wako.

Nina kawaida ya kutumia lugha ngumu kwa watu wajinga wajinga maana naona ndio inayowastahili.

Huwezi ukasema eti sasa hivi tunaishi kwa amani kwenye huu utawala wa Idd Amin Mama na wakati ndio matukio ya kuogofya yametamaraki na kuna jeshi maalumu lisilo rasimi limetengewa na fungu lake kwa ajili ya kuteka na kuua watu likiongozwa na mtoto wa raisi.

Yaan hata watoto wadogo wanajua sasa hivi serikali ya samia imewatia watu hofu halafu wewe unasema eti tuna aman kulinganisha na enzi za magufuli, wewe ni lijinga... wapo haters kibao wa magufuli wenye akili huwezi kukuta wanamtetea samia, maana wanajua kabisa kwa samia hali imekuwa mbaya zaidi.
Hakuna sehemu nimemtetea sa100. Mimi nimesema kuwa bora utawala huu kuliko ule wa yule dhalimu.
 
Tupe ushaidi wa haya yote uliyoyataja hapa, usiishie kuleta ngonjera tu hapa ambazo zimekuwa zikitamkwa mara kwa mara na haterz wenzio wa Jpm ambao walibanwa mapumbu kama wewe.

Leta ushaidi usiokuwa na shaka.
Ndiyo maana Jiwe aliweza kuwatawala watu kama wewe,sasa unataka ushahidi wa kipi hapa?
--Tenda ya uwanja wa ndege?
--Bei ya Ndege?
--Kumpa kimada wake nyumba ya serikalin?
 
Hakuna sehemu nimemtetea sa100. Mimi nimesema kuwa bora utawala huu kuliko ule wa yule dhalimu.
Kwamba huu wa sasa sio utawala dhalimu?

Rudi shule ukatoe ujinga kwanza uache kutia aibu bao lililokuleta duniani nyau wewe.
 
Back
Top Bottom