Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.

Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.

Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea uimara wa sekta binafsi. Kipindi cha Magufuli a.k.a kipindi cha viwanda hewa sekta binafsi zilipigwa pini kila kona.

Wazabuni wa mashirika ya umma kila walipodai pesa zao za zabuni waliambiwa tunahakiki malipo.
Kampuni zilifungwa sana, benki nazo ziliminywa vibaya mno.

Ujenzi wa makazi ya watu binafsi ulisimama kwasababu ya hali ngumu, biashara za kati na ndogo hazikuzuka mpya.

Wachuuzi almaarufu wamachinga ndio waliongezeka .

Wakati wa Magufuli ndipo biashara ya uchawa na kununua wanasiasa ndipo ilisitawi .

Haya wachawi nasubiri matusi yenu.

Wakati wa Magufuli hatukujua kuwa tupo kwenye ujamaa au ubepari, mambo yalikuwa shaghalabaghala na watu wakampigia makofi.
Kweli Afrika kazi tunayo
Unajua uchumi wewe? Tafuta wazabuni leo uongee nao uone wanakwambia nini
 
Hali ipo vile vile. Ni kwamba tu wapiga deal walikuwa wanapiga sana kelele, makapuku nao wakaiga bila kujua wenzao wanapiga kelele za nini! Saa hivi wapiga deal wako kimya makapuku nao wako kimya, so inaonekana kama uchumi mzuri.
 
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.

Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.

Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea uimara wa sekta binafsi. Kipindi cha Magufuli a.k.a kipindi cha viwanda hewa sekta binafsi zilipigwa pini kila kona.

Wazabuni wa mashirika ya umma kila walipodai pesa zao za zabuni waliambiwa tunahakiki malipo.
Kampuni zilifungwa sana, benki nazo ziliminywa vibaya mno.

Ujenzi wa makazi ya watu binafsi ulisimama kwasababu ya hali ngumu, biashara za kati na ndogo hazikuzuka mpya.

Wachuuzi almaarufu wamachinga ndio waliongezeka .

Wakati wa Magufuli ndipo biashara ya uchawa na kununua wanasiasa ndipo ilisitawi .

Haya wachawi nasubiri matusi yenu.

Wakati wa Magufuli hatukujua kuwa tupo kwenye ujamaa au ubepari, mambo yalikuwa shaghalabaghala na watu wakampigia makofi.
Kweli Afrika kazi tunayo
Kwahiyo tusimjadili mumeo Rostam?
 
Janaume zima unajiita eti uko pamoja na mama.
Pole sana
 
Thats the big truth, ndio sababu tunataka na samia atupishe aachie nchi, nchi ianze kuongozwa kisheria, taasisi ziwe separated na inderpendent, lazima tupate NEW REFORM ZA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA haraka sana
 
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.

Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.

Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea uimara wa sekta binafsi. Kipindi cha Magufuli a.k.a kipindi cha viwanda hewa sekta binafsi zilipigwa pini kila kona.

Wazabuni wa mashirika ya umma kila walipodai pesa zao za zabuni waliambiwa tunahakiki malipo.
Kampuni zilifungwa sana, benki nazo ziliminywa vibaya mno.

Ujenzi wa makazi ya watu binafsi ulisimama kwasababu ya hali ngumu, biashara za kati na ndogo hazikuzuka mpya.

Wachuuzi almaarufu wamachinga ndio waliongezeka .

Wakati wa Magufuli ndipo biashara ya uchawa na kununua wanasiasa ndipo ilisitawi .

Haya wachawi nasubiri matusi yenu.

Wakati wa Magufuli hatukujua kuwa tupo kwenye ujamaa au ubepari, mambo yalikuwa shaghalabaghala na watu wakampigia makofi.
Kweli Afrika kazi tunayo
mi nina B.A economics udsm. Hakua ambaye kasoma uchumi anakubaliana na jpm from day one. yule aliua kila kitu na kidogo uchumi ucollapse. Thanks, kikwete and alies kuona hiyo na kurescue hali
 
Kama wewe sio mchawi basi unaroho ya kichawi
 
Mapema 2017 mabasi ya mikoani yalikua hayajai,makampuni ya kubeba mizigo (vifurushi) yakafa,maduka yakafungwa nchi nzima
Maduka yalivyofungwa nchi nzima vitu na mahitaji ya kutumia ulikuwa unaletewa na basha wako kutoka wapi ?
 
mi nina B.A economics udsm. Hakua ambaye kasoma uchumi anakubaliana na jpm from day one. yule aliua kila kitu na kidogo uchumi ucollapse. Thanks, kikwete and alies kuona hiyo na kurescue hali
Aiseehhh uchumi wa makalatasi VS uchumi halisia, my african
 
k

Kwani we utakuwa mbangaizaji maisha yako yote? mbona unajidharau hivyo
Tatizo kubwa sana watu mnakuwa na myopic thinking iliyochanganyana na UMIMI na kuangalia mambo not as a whole equation bali kwa mafungu... MIMI au WEWE (individually hatuwezi kuhesabika kama ndio maendeleo ya nchi..., Mbona tuna kina Azam na kina Mo na watu wana pesa za kumwaga wanazolamba na kuzichota)?

Mtu mwenye busara anaangalia mambo kwa percentage na percentage hio ni kwamba Uchumi wa dunia upo kwenye mikono ya wachache wakati wengi hawana kitu na hilo jambo ni hatari kwa jamii nzima duniani; sababu hata wewe mwenye kitu chako upo hatarini kitu hicho kuchukuliwa na wengi wasio na kitu... Ishatokea huko nyuma dunia ilipofika kwenye crossroads kama hizi (waliuze aristocrats walipatwa na kitu gani)
 
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.

Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.

Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.

Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea uimara wa sekta binafsi. Kipindi cha Magufuli a.k.a kipindi cha viwanda hewa sekta binafsi zilipigwa pini kila kona.

Wazabuni wa mashirika ya umma kila walipodai pesa zao za zabuni waliambiwa tunahakiki malipo.
Kampuni zilifungwa sana, benki nazo ziliminywa vibaya mno.

Ujenzi wa makazi ya watu binafsi ulisimama kwasababu ya hali ngumu, biashara za kati na ndogo hazikuzuka mpya.

Wachuuzi almaarufu wamachinga ndio waliongezeka .

Wakati wa Magufuli ndipo biashara ya uchawa na kununua wanasiasa ndipo ilisitawi .

Haya wachawi nasubiri matusi yenu.

Wakati wa Magufuli hatukujua kuwa tupo kwenye ujamaa au ubepari, mambo yalikuwa shaghalabaghala na watu wakampigia makofi.
Kweli Afrika kazi tunayo
KWA SASA UMEKUWA TANGIA AMEFARIKI?
 
Magufuli yuko wapi hapa? Pumbafu
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Maduka yalivyofungwa nchi nzima vitu na mahitaji ya kutumia ulikuwa unaletewa na basha wako kutoka wapi ?
Maduka mengi kufungwa maana yake ajira zinapotea, kodi inapotea, ndiyo maana Mungu wako magu alipiga kelele maduka kufungwa
 
Back
Top Bottom