DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
- Thread starter
- #101
NDIOUnauhakika ile ni manipulation ?
NDIOUnauhakika ile ni manipulation ?
Mpaka sasa 29, 9 ,zimeleta usawa , wanamziki chali , baskeli ,pikipiki za ccm chali, wajumbe bendera hakuna, jezi za ccm hazivaliki sijui wanetupa ,wapi
usifate mihemko muu linda u ha I wakoHata usipo andamana haupo salama utauliwa kwa kutekwa na serekali ya Samia. Andamana kupinga utekaji na MAUAJI na vifo vya nje ya mahakama.
Wizara 3 zote za muhimu kaweka watu wake, Lol
Wizara 3 zote za muhimu kaweka watu wake, Lol
ulitaka aweke watu wa lisu? au wako?Wizara 3 zote za muhimu kaweka watu wake, Lol
HUU UZI MPAKA SASA UMEWAFANYA WANAHARAKATI UCHWARA WA JF KUPOTEANAulitaka aweke watu wa lisu? au wako?
Huyu jamaa anahitaji daktari wa hakili, sizani kama usingizi anapata
anaitwa captein TESHAKuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia .
History tends to repeat itself
MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA
yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war
KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA USALAMA WAKO PALE UKIANZISHA VURUGU AU KUFANYA MAANDAMANO
DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
Ahaaha!anaitwa captein TESHA
Kheri ya Mwaka Mpya 2026 Dear!Kanisome tena au chukulia kuwa naharisha humu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?