Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

NA WALE MNAOJARIBU KIMUSEMA NIMEBADILIKA HIVI AU VILE NA NINAHARIBU HESHIMA YANGU

NIWAAMBIE MIMI WAKATI NAJIUNGA HAPA JF SIKUMPIGIA MTU SIMU NA SIHITAJI HIYO HESHIMA YA MTU YEYOTE

NA MIMI NI MTU HURU , SIWEZI KUONA MNAWAUMIZA VIJANA MNAWAINGIZA KATIKA MATATIZO NIKAKAA KIMYA HAIWEZEKANI

MMEKUWA MKIJARIBU KUNICHAFUA KUNIFATA PM N.K ILA NIWAAMBIE NYIE SIO WATU WAZURI NA HAMUITAKII MEMA NCHI YETU

KWAHIYO LAZIMA UKWELI UWE WAZI.
Unawasaidia vijana lakini nyumbu wenye DNA za binadamu hawatakuelewa , TAIFA LA WADANGANYIKA
 
Msikubali kutawaliwa na watu ambao hamkuwapa ridhaa ya kuwatawala hata uwe chawa usikubali katu.
Sisi hatuhusiki na siasa,kama mnampeleka mama ICC mpelekeni

Sisi hatuna chama kwenye movement yetu

Sisi tunapigania amani ya nchi yetu
 
Hatujawahi kuelewa wazee. Hizi sio zama analogia ni za kidigital, na nyie wazee muda umewashawatupa mkono. Yaani hapa ww ni kama unafanya biashara ya kuanika nguo kavu.
Trust me mtatuelewa tu
 
Hapo mimi ndipo ninawashangaa sana wavaa magauni na wapiga nyeto wa TEC

Pindi hamasa ya vurugu inafanywa wao wamekaa kimyaaa...

Vurugu zimeanza na serikali imechukua hatamu kuinusuru nchi haoo wanakuja na magauni yao eti serikali ijieleze...

Ijieleze kwao wao kama nani??shenzy kabisa
Shenzy ni wewe malaya wa kisiasa. Kwa hiyo unahalalisha mauaji yaliyofanywa na huyo Manyonyi wa Kizimkazi? Njaa imekutawala hadi kichwani. Nguruwe wewe
 
Hawawezi kuikwepa lawama,wamechangia sana kusababisha vijana wetu kupoteza maisha
Waliopiga risasi waandamanaji, watekaji,wauaji,wezi wa uchaguzi,hao ndio heroes wako na hawana lawama kwenye mauaji ya 29, umeeleweka boss
 
NA WALE MNAOJARIBU KIMUSEMA NIMEBADILIKA HIVI AU VILE NA NINAHARIBU HESHIMA YANGU

NIWAAMBIE MIMI WAKATI NAJIUNGA HAPA JF SIKUMPIGIA MTU SIMU NA SIHITAJI HIYO HESHIMA YA MTU YEYOTE

NA MIMI NI MTU HURU , SIWEZI KUONA MNAWAUMIZA VIJANA MNAWAINGIZA KATIKA MATATIZO NIKAKAA KIMYA HAIWEZEKANI

MMEKUWA MKIJARIBU KUNICHAFUA KUNIFATA PM N.K ILA NIWAAMBIE NYIE SIO WATU WAZURI NA HAMUITAKII MEMA NCHI YETU

KWAHIYO LAZIMA UKWELI UWE WAZI.
Mtu huru?? subiri siku ujichanganye na hao mashetani watekaji na wauaji ndio utajua hujui, nyie watu mnafikiria kutumia makalio sio bure
 
KOSA LIPO KWAKO UNAONA HATARI ILA UNAJITOA UFAHAMU
Vyama vya siasa vinakuja na kuondoka, uchawa kwenye haki za watu ni wapuuzi tuu kama wewe wanaoweza kuona kuua waandamanaji ilikuwa sawa, subiri siku serikali tofauti ije iwamiminie risasi kwenye mikutano yenu ya CCM, for a reason hamkuomba kibali cha mkutano
 
EBU ONA HUU UPUMBAVU MLIOKUWA MKIFANYA HAPA JF

👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 7
EBU ONA HUU UPUMBAVU MLIOKUWA MKIFANYA HAPA JF

👇🏾
Unaona huo upumbavu tuu, ongelea haki za wananchi kuandamana na kupiga kura ikahesabiwa kihalali, na unaona sawa tuu watu kutekwa na kupotezwa, hakutakuwa na maendeleo kuongozwa na watu wenye akili kama zako
 
FATENI SHERIA ZA NCHI NA UTARATIBU SAWA
 
Back
Top Bottom