Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

Huwezi kupinga hili,watu walijua polisi hawapo pamoja na wananchi,lkn walipo aminishwa kuwa jeshi lipo pamoja nao ndio walipata nguvu ya kuingia road
Kwa id ile imejibu 7.40, hii 7:43 na 7:57 😂😂😂 ila nyie tiss uchwara bana.
 
HAWANA MBINU NILIKUAMBIA UONGO HUWA HAUDUMU

USHINDI USHAPATIKANA UKIONA WAMEBAKI PERSONAL ATTACK UJUE KWISHA HABARI YAO


HAUWEZI UKALETA MACHAFUKO NDUGU ZETU WAKAFA UKATEGEMEA TUKUACHE.
Tumewakalisha tayar,wanabaki kutukana tu,kuhamasisha tupigwe ban,wanahamasisha kususiwa mabandiko yetu

Yote hii ni kuonyesha hawana tena hoja,wakubali tu kuwa game is over
 
Jibuni hoja na sio kutafuta sababu zisizo za msingi

Sisi wala hatutukani kwakuwa ni wastaarabu
Sisi tunatukana maana hatuna silaha za moto kama nyie. Nyie ustaarabu wenu ni kuua lakini hamtukani.
 
Hapo mimi ndipo ninawashangaa sana wavaa magauni na wapiga nyeto wa TEC

Pindi hamasa ya vurugu inafanywa wao wamekaa kimyaaa...

Vurugu zimeanza na serikali imechukua hatamu kuinusuru nchi haoo wanakuja na magauni yao eti serikali ijieleze...

Ijieleze kwao wao kama nani??shenzy kabisa
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Tumewakalisha tayar,wanabaki kutukana tu,kuhamasisha tupigwe ban,wanahamasisha kususiwa mabandiko yetu

Yote hii ni kuonyesha hawana tena hoja,wakubali tu kuwa game is over
Bwaahaaaa bwahaaaaa 😂😂 nimecheka vibaya, pale unapojitungia mtihani na kujisahihishia kisha useme una akali!😂
 
Mie hata sijui ban yo waliopigwa JF imeisha lini?

Walizowea sana kupiga watu ban, walijisahau kuwa na wao wana wababe wao.
Wewe kama unashangilia hiyo "ban" unafanya nini humu sasa.
 
Amani ni tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa sana

kaa maandama


Nyie mmevurugwa baada kuona uwanja umeinama upande wenu
Yaani ww ni chawa wa kawaida sana, labda ukawape mrejesho wanaokulipa kuwa umeshinda humu. Kwa taarifa yako sisi humu tuko sana na wala hatushindani na yoyote, ndio maana huwezi kusikia uwanja umesimama ama kuinama. Inshort sisi humu ni jukwaa huru, lisilo na mashindano. Kama unashindana hiyo ni kimpango wako na waliokutuma.
 
Mtatuelewa tu
Hatujawahi kuelewa wazee. Hizi sio zama analogia ni za kidigital, na nyie wazee muda umewashawatupa mkono. Yaani hapa ww ni kama unafanya biashara ya kuanika nguo kavu.
 
Muda wa kuwakumbusha wananchi amani ya nchi ni muhimu,wasikubali kuichoma nchi yao kwa mchezo wa watu wengine wenye maslahi yao binafsi
Msikubali kutawaliwa na watu ambao hamkuwapa ridhaa ya kuwatawala hata uwe chawa usikubali katu.
 
Back
Top Bottom