Aliyepoteza huu Mzigo tafadhali anitafute haraka

Aliyepoteza huu Mzigo tafadhali anitafute haraka

Hapa eh......
.....Walinipa laki mbili kama shukrani, dada huyu katokea kunipenda sana tena sana, amelia sana machozi ya furaha, alijua ndo basi tena, anasema mimi sasa nimekuwa ndugu yake, bravo JF.

mmmmhhhh mi nakuona tu vile unajiexpress
 
Polisi wa bongo sio watu, unaenda kutoa taarifa unageuziwa kibao
Kwanza akipeleka hiyo wallet na hela zake aliyepoteza hatazipata hizo pesa

Kweli kabisa ram
Mi nilimuokota majeruhi wa ajali, nikajitolea kumkimbiza MUHIMBILI, si unakumbuka wale POLICE walivonichachafya!
Siwapendi!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
wiseboy hongera sana kwa moyo huo uliouonyesha.......ni vijana wachache sana wenye moyo kama huu uliouonyesha!

HONGERA SANA wiseboy
 
Last edited by a moderator:
Big up sana kwako ndugu WISE BOY.kuna watu wanaweza kukuona mjinga lakin hawajui kuwa wema huwa hauozi.
 
Last edited by a moderator:
Hapa eh......
.....Walinipa laki mbili kama shukrani, dada huyu katokea kunipenda sana tena sana, amelia sana machozi ya furaha, alijua ndo basi tena, anasema mimi sasa nimekuwa ndugu yake, bravo JF.

Hehehehehehehe! muongo sana huyu jamaa.
 
Jana majira ya saa tisa Alasiiri mchana nilipokea ujumbe kwenye PM juu ya mtu aliyekuwa kapoteza pochi yenye pesa. Ujumbe ule uliambatanishwa na namba ya simu, na jina halisi la mwenye pesa kama tu lilivyokuwa kwenye driving license na akataja kiasi halisi cha pesa. Wanajamvi mlinitaka akipatikana mwenye mali nilete feedback, nami nimefanya hivyo.

Ilivyokuwa;

Mwenye pesa si mwana JF mwenzetu, ila rafiki yake ndo mwana JF ambaye alikuwa na taarifa za rafiki yake kupoteza pesa, alipoteza pesa hizo katika ugomvi na mpenzi wake walipokuwa wakitokea bar ya Afri center, nimekutana nao wote jana na wakakubali majina yao niyaweke humu na pesa alizokuwa kapoteza ilikuwa sh 635,000 zikiwa kwenye mkoba mdogo wa kike. Mpotezaji anaitwa Herieth Kanakaitwa mrembo wa haja, rafiki yake ambaye ndo mwana JF mwenzetu anaitwa Zuhura saidi, amegoma nisiweke ID yake.

Walinipa laki mbili kama shukrani, dada huyu katokea kunipenda sana tena sana, amelia sana machozi ya furaha, alijua ndo basi tena, anasema mimi sasa nimekuwa ndugu yake, bravo JF.

tafadhari sana mods nachelea kuamini habari za huyu jamaa na nasema ni MUONGO wa kutupwa kutokana na historia ya thread zake... Anashusha hadhi ya JF kwenye critical matters...

Ombi langu, naomba muingie inbox yake muone kama ana pm ya hivi alivyoandika, kama ni muongo naomba mumpige ban ya maisha... Kama ni kweli nipo radhi mnipige mimi ban.. Hii tabia si nzuri kabisa!!!! Na mkimpiga ban mmoja wetu naomba mtangaze hapa JF.. Ila waongo waache na wasioamini wajifunze!!
 
Hukuwahi kumpiga picha huyo mrembo?hongera ww ulobahatika kuonana nae live tena akakupenda sana!
 
hapana siyo kweli hata siku moja
mimi ni kijana wa kanda ya ziwa neno hili linaeleza wazi ujumbe na dhimira ya mada yako kwamba nikuwazihaki wakanzi wa pwani
hiyo ndio lugha ya kanda ya ziwa? una maana gani hapo?
 
Huyo ndiyo wiseboy x-Miner from Kakola mgodini...hana njaaaa ati
 
Last edited by a moderator:
Polisiccm ni shida kabisa

Kweli kabisa ram
Mi nilimuokota majeruhi wa ajali, nikajitolea kumkimbiza MUHIMBILI, si unakumbuka wale POLICE walivonichachafya!
Siwapendi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom