Aliyepoteza huu Mzigo tafadhali anitafute haraka

Aliyepoteza huu Mzigo tafadhali anitafute haraka

Jana nlisoma mada yako uliiwakilisha na kuonekana honesty kweli kweli. Kwa mtazamo ule nikakerwa kidogo na michango ya wadau waliokuita muongo na kuwa sifa yako ni ya uongo uongo, lakini nilijizuia kuwapinga nikachapa lapa kimya kimya. Namshkuru Mungu kwa kunipa ujasiri wa kutowapinga. Leo ningekuwa mgeni wa nani sijui...
 
hahahaaaaa hapo chini ndio kaniacha hoi

Hapa eh......
.....Walinipa laki mbili kama shukrani, dada huyu katokea kunipenda sana tena sana, amelia sana machozi ya furaha, alijua ndo basi tena, anasema mimi sasa nimekuwa ndugu yake, bravo JF.
 
hizo laki2 umechukua za nn.c ungezikataa maana ni kama umewatoza riba kwa kuokota tu.
 
Nikiwa kama mpatanishi wa kimataifa nikiwa na rekodi ya kuwapatisha waparestina na waisraeli pale GAZA nirushie namba za huyo dada nikaonyeshe uwezo.....wapendanao hawatakiwi kuishi maisha ya namna hiyo.....najitolea kwa moyo mkunjufu na bila kinyongo........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom