The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Aisee angeokota kijana wa ccm apo ange eskoroi kila kitu!Big up sana mkuu kwa kujitambua.
Ha ha ha ha ingepigwa kimya, kimya no tangazo no nini.Chezea magamba wewe.
Aisee angeokota kijana wa ccm apo ange eskoroi kila kitu!Big up sana mkuu kwa kujitambua.
Mkuu unashauri kabisa fedha za namna hiyo zikatumike kwa kazi ya Mungu???
kichwa changu kimegoma kabisa kuamini huyu jamaa haaminiki ni muongo muongo
Fiksi tupu...
kichwa changu kimegoma kabisa kuamini huyu jamaa haaminiki ni muongo muongo
Hii Mada kama ni uchokozi wa kanda ya ziwa vs DSM.
kwamba kina Ngosha ni waaminifu kuliko wa Dar!!
nimewaza tu jamani!!
Wakuu,mimi Kijana Wa Kanda Ya Ziwa Nipo Hapa Dar Kwa Takriban Wiki Ya Pili Sasa,leo Ktk Zungukazunguka Yangu Usiku Huu Wakati Narejea Kulala Majira Ya Saa Mbili Hivi Nimeokota Pochi Yenye Kiasi Kikubwa Hivi Cha Pesa Pamoja Na Driving License Maeneo Ya ilala ktk flat za wanajeshi kwenye njia inayochepukia kuelekea Kigogo,kwanza Nimewaza Sana Iwapo Hii Ni Bahati Au Lah! Nikajiuliza Mara Mbili Mbili,baadae Moyo Ukaniambia Kuwa Mwenye Huo Mzigo Yawezekana Nae Ana Matatizo Yake Na Hiyo Pesa Ndo Alikuwa Anaitegemea Sana,kwa Kuwa Mimi Kidogo Nipo Vizuri Kiuchumi Nimeona Ni Bora Nitangaze,kwa Yeyote Aliyepoteza ani pm Na Aeleze Jina Lake Kama Lilivyo Kwenye License Na Aseme Kiasi Halisi Cha Pesa,kisha Tuonane Nimpatie Mzigo Wake,Warning:kama huhusiki Tafadhali Pita Sitaki Usumbufu Wala Kejeli,heshima Ni Kitu Cha Bure.
kichwa changu kimegoma kabisa kuamini huyu jamaa haaminiki ni muongo muongo
Google hilo jina lililo kwenye driving license, kuna uwezekano mkubwa akawepo Facebook au sehemu nyingine mitandaoni
kichwa changu kimegoma kabisa kuamini huyu jamaa haaminiki ni muongo muongo
Ubarikiwe sana Mkuu, katika dunia yetu hii ya leo ni nadra sana kuwa na watu wenye moyo wa ubinadamu kama wewe.
Fiksi tupu...
Toa taarifa polisi ila usiwape hela, waambie tu umeokota dring licence...watafuta jina na adress yake watakupatia. Huku JF sio kila mtu anaingia huku. Pia angalia kwenye pochi kuna wezakuwa na business card zake au no ya mtu ambaye anaweza kumjua. Kama umekuwa msamaria mwema simamia hili mpaka mwisho na Mungu akubariki.