hapana siyo kweli hata siku moja
mimi ni kijana wa kanda ya ziwa neno hili linaeleza wazi ujumbe na dhimira ya mada yako kwamba nikuwazihaki wakanzi wa pwani
Haka kajamaa ni kabingwa ka kudanganya...
Usipende Kuhukumu Kitoto Namna Hiyo,unajuaje Aliyepoteza Ni Wa Pwani Au Bara? Kwani Dar Inakaliwa Na Wa Pwani Pekee Yake? Jaribu Kuwa Na Akili Iliyokomaa Na Si Akili Ya Kitoto Hivyo.
kudanganyana mwisho mara moja
kichwa changu kimegoma kabisa kuamini huyu jamaa haaminiki ni muongo muongo
Huna lolote wewe umekosa cha kuandika,we na uchumi wako njia za kuchepukia kigogo umezijulia wapi,?
Hii Mada kama ni uchokozi wa kanda ya ziwa vs DSM.
kwamba kina Ngosha ni waaminifu kuliko wa Dar!!
nimewaza tu jamani!!
Fiksi tupu...
anaeza kuwa kweli ama kasoma ule uzi kuhusu waaminifu wa dubai akapata wazo atoke vipi
Nilidhani peke yangu.
Haka kajamaa ni kabingwa ka kudanganya...
Kama chai ilopikwa vyema vileeee
cc: Tyta for your action plz.
Pdidy a chaviroba,.....!Pochi mpemkeo,, helapelekakanisani
kichwa changu kimegoma kabisa kuamini huyu jamaa haaminiki ni muongo muongo
Wakuu, mimi kijana wa Kanda ya Ziwa nipo hapa Dar kwa takriban wiki ya pili sasa. Leo katika kuzungukazunguka yangu usiku huu wakati narejea kulala majira ya saa mbili hivi nimeokota pochi yenye kiasi kikubwa hivi cha pesa pamoja na driving license maeneo ya ilala katika flat za wanajeshi kwenye njia inayochepukia kuelekea Kigogo.
Kwanza nimewaza sana iwapo hii ni bahati au lah! Nikajiuliza mara mbili mbili, baadae moyo ukaniambia kuwa mwenye huo mzigo yawezekana nae ana matatizo yake na hiyo pesa ndo alikuwa anaitegemea sana, kwa kuwa mimi kidogo nipo vizuri kiuchumi nimeona ni bora nitangaze, kwa yeyote aliyepoteza aniPM na aeleze jina lake kama lilivyo kwenye license na aseme kiasi halisi cha pesa, kisha tuonane nimpatie mzigo wake.
Warning: Kama huhusiki tafadhali pita sitaki usumbufu wala kejeli, heshima ni kitu cha bure.

hahaa jamaa hawaaminiki kumbe.
huyu jamaa ni msanii eti kama kuna mtu kapoteza ampeep.ametoa namba???au aibeeep hewa.huyo aliyepoteza atijuaje namba ya huyu jamaa aliyeokota??????????
Ahsante Mkuu Kwa Maelekezo Mazuri,ila Pochi Haina Business Card Zaidi Ya Leseni Tu.