kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
mimi ni akili ya kitoto sawa, nakupa hongera kwa kuwa wewe una akili yakikubwa.
dhimara ya mada yako ni kuwakashifu wakazi wa kanda ya pwani kwamba wao wakiokota vitu hawanga tabia yakufanya kama ulivyofanya wewe.
kama kweli umeokota ilikuwa haina haja ya wewe kujitambulisha unatoka kanda ya ziwa.
Hii kanda ya ziwa mwaka huu itawasumbua sana nyie watu mnaoishi na kuzaliwa pwani! hata wewe Shy land?