sinide
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 459
- 486
najtambua then mi sio dogo, tuheshimiane asee fata mambo yakoJitambue dogo hujui jf ni nyumba ya weledi?unajuwaje mleta uzi naye pia ni Tiss?

Maulid kitenge anamjua vizuri!!!!Paskali,
Ninaamini aliyemtolea Nape bastola anafahamika vizuri tu.
Kuna waandishi wa habari kadhaa walioshiriki ile tafarani na kumnasua nape.
Walikwaana na huyo jamaa uso kwa uso.
Ni rahisi sana kwa wanahabari hao kumtambua wakikutana naye siku nyingine mahali popote pale.
Njaa tuMze pascal upo vzr
Paskali,
Ninaamini aliyemtolea Nape bastola anafahamika vizuri tu.
Kuna waandishi wa habari kadhaa walioshiriki ile tafarani na kumnasua nape.
Walikwaana na huyo jamaa uso kwa uso.
Ni rahisi sana kwa wanahabari hao kumtambua wakikutana naye siku nyingine mahali popote pale.
Pascal try to be serious!!! vyombo vilivyosomea fani ya kudeal na wahalifu visimbaini waandishi wa makaratasi waweze..? "HAJULIKANI" unaweza kumwona asiyejulikana ? labda uwe mtenda miujiza !!Paskali,
Ninaamini aliyemtolea Nape bastola anafahamika vizuri tu.
Kuna waandishi wa habari kadhaa walioshiriki ile tafarani na kumnasua nape.
Walikwaana na huyo jamaa uso kwa uso.
Ni rahisi sana kwa wanahabari hao kumtambua wakikutana naye siku nyingine mahali popote pale.
Ningefurahi zaidi kama hata sura ya huyo anayejiita 'aliyemtishia Nape bastola' ingeonekana hapa. Kwa teknolojia ilivyobamba, sidhani kama wabunge wote hao, akiwemo mwanahabari dada yangu Esther Bulaya, walishindwa hata kumfotoa ili walau watu waone sura yake na kuilinganisha na ile ya wakati uleee.
Kinachoonekana hapa ndugu zangu walisimuliwa, hawakuwepo kwenye tukio. Kimtazamo tu, angesimulia hapo mtu wa chama tawala kidogo ningeweza kusadiki japo kwa mbali, lakini kama jamaa zangu wamesimuliwa na wabunge wa upinzani wenye 'nasaba' na gazeti hilo, nachelea kuamini.
Hii habari ilifaa kuandikwa na 'magazeti pendwa' siyo TanzaniaDaima.
DM
Huyo hapoNdiyo maana nikasema hii habari imelishushia hadhi gazeti makini kama TanzaniaDaima. Purely Yellow Journalism.
Unless waseme kwamba wameamua kuiweka kwa 'shinikizo', vinginevyo hawakwenda beyond the doubts.
hahaaaa hiii nidharau ya wazi waziHili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
kwa nini hafahamiki?Huyo jamaa hafahamiki
hamjamuelewa pascal ...tulizeni akili vyema"" ni matusi makubwa mnooo mzazi kushindwa kutatua kero za familia "" ilhali watoto na mkewe wanatambua kuwa uwezo huo wakutatua hzo kero baba anao""Tumbo baba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaaa hiii nidharau ya wazi wazi
picha mbona zimesambaa sana humu na kurushwa tangu Jana "" wewe makalio ""Mkuu,paskali huu ndo uandishi wake zama hizi.anahofu na jiwe kwelikweli.(kiongozi wa malaika).
Mafuta kwa mgongo wa chupa
Kaka kuna uzi wa jana humu jamaa kaonekana tena jana akiescort kina Mbowe...Tetesi: - Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu Nini maoni yako?Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Waliosema hayo ni waongo!, yule aliyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana!, referKaka kuna uzi wa jana humu jamaa kaonekana tena jana akiescort kina Mbowe...Tetesi: - Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu Nini maoni yako?
Nimekuelewa!Waliosema hayo ni waongo!, yule aliyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana!, refer
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!..
P.
Umenichekesha k w eli broo, nakwambia leo unaweza kujua ama kufaham mambo mengi lakini huwezi kujua au kufaham yote, ha ha ha habHili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.