Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Wewe Mayalla wewe!!!
 
Nchi ipo kwenye njia sahihi sasa hata mkipiga vijembe, kwenye mapambano yeyote kuna nyasi zitaumia , dunia yote iko hivyo
Makuadi wa mabeberu acha wakumbane na wasiojulikana , nchi lazima iende mbele acha kubembelezana
 
1: running.
My points focus on people's evidence and nothing more. By understanding the nature and first habits of the aforementioned leaders ,only the GT will concur with my narrations.
To jump in front of horse cat will put you aside.
The ones you mentioned are on oposition party how do you connect them to take actions
 
1: running.
My points focus on people's evidence and nothing more. By understanding the nature and first habits of the aforementioned leaders ,only the GT will concur with my narrations.
To jump in front of horse cat will put you aside.
Shikamooo[emoji137]
 
duh alibadiru ya nape ni hatari ...nadhani kwa alichokifanya ajaribu kutusaidia tujue na walio waua watu wengine wajitaje tu wahukumiwe...
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.

Mkuu umeshasema alipigwa picha na video.Kwa waandishi wenye weledi na njaa wanaenda mbali zaidi kutaka kumfahamu.Labda ambacho freemedia wamefanya.Huwezi jua.
 
Yule askari aliemtishia nape bastola anajulikana jina lake mtaani maarufu anaitwa kisanduku na ni body guard wa makonda,na pale cku viongoz wa chadema wakiripoti ni kweli alikuwepo.
 
Bodyguard anafanya nini central? Siku hiyo makonda hakuwa na Bodyguard!? Jet Lee The Body Guard
 
Paskali,

Ninaamini aliyemtolea Nape bastola anafahamika vizuri tu.
Kuna waandishi wa habari kadhaa walioshiriki ile tafarani na kumnasua nape.
Walikwaana na huyo jamaa uso kwa uso.
Ni rahisi sana kwa wanahabari hao kumtambua wakikutana naye siku nyingine mahali popote pale.
Kama walishindwa kupata hata sura yake kwa uzuri sehemu ya wazi kama ile bado unaimani watamtambua?
 
Back
Top Bottom