Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Sale's Promotion imebuma!
Sale's Promotion imebuma!
Kama ulivyoeleza walikutana na sura kama ile, kama ile maana yake ni kama tuu, sii ile, yule Jamaa mwenyewe halisi aliyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana.Baada ya CDM kwenda polisi, walikutana na sura kama ile iliyoonekana ikitoa bastola.
Walipokutanisha macho yao wakatambuana.
Huyo jamaa akaanza kuweweseka.
" Willy Gamba'
Uandishi ULIOTUKUKA................kula Like...............!!!!Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu ayejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na byombo vya sharia ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Ni kwel hat yule kitenge alikuwepo ila naisi atakua amemsahau c unajua tena ni mtu asiye julikana na in mtu aliyetumia iyo nafasi kufany ktendo cha kialifu na sio ajabu ile sio bastola halisi uskute ni manati tuuPaskali,
Ninaamini aliyemtolea Nape bastola anafahamika vizuri tu.
Kuna waandishi wa habari kadhaa walioshiriki ile tafarani na kumnasua nape.
Walikwaana na huyo jamaa uso kwa uso.
Ni rahisi sana kwa wanahabari hao kumtambua wakikutana naye siku nyingine mahali popote pale.
P, umeandika kule," Sura yake ilibainika wazi".Kama ulivyoeleza walikutana na sura kama ile, kama ile maana yake ni kama tuu, sii ile, yule Jamaa mwenyewe halisi aliyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana.
P
Mkuu huyo mtu hajulikani kwa nani? Ikiwa ni kwa Wananchi sawa. Lakini kwa vyombo vyetu vya ulinzi haiingii akilini. Maana walikuwepo eneo la tukio na walishudia kwanini wasimkamate?Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu ayejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na byombo vya sharia ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
wakati wa slaa lilikuwa linauza nakala ngapi kwa siku ? ukilinganisha na sasa ambapo huuza nakala ngapi kwa siku? ukishindwa kujibu hustahili kuwa member hapa .hata kama una miaka 100 humu.Gazeti hilo kwa uongo.. ndio maana haliuzi kama enzi za Dr. Slaa
Bomu kabisaaaaa
Mkuu Yombo, so suala la kuamini Maneno niliondika, bali moja ya sifa yangu kuu humu jf, ni kuwa mkweli Daima!. Mimi ni verified member na siku zote husema ukweli. Yule aliyemtishia Nape bastola ni mtu aliyejulikana, na uzuri wangu, mimi kama mwandishi mzoefu, sisi waandishi sio tuu tunauwezo wa kuwabaini wasiojulikana, bali tuna vifaa vya kunasia picha na sauti za wasiojulikana hawa!. Tukio la Nape kutishiwa bastola, waandishi tumerekodi video, tumepiga picha, tumezisambaza kwenye media zote hadi mitandao ya kijamii, lakini ikathibitishwa pasipo shaka kuwa mtu yule ni mtu asiyejulikana!.Pascal kweli umaamini haya maneno ulio yaandika??
A figurative language should remain figurative language for a good sake. Ila wanaotaka kumwelewa Mayala wamemuelewa sana tu. Ni sawa na aliyeandika kitabu cha nchi ya kusadikika tulimuelewa tuPascal kweli umaamini haya maneno ulio yaandika??
Baba heshima kwakoHili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu ayejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na byombo vya sharia ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Kweli PASKALI Tanzania Daima ni WAZUSHI,Serikali bado inamtafuta aliyemtolea Bastola Nape mpaka leo hajulikani,Wao wamemjuaje?Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu ayejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na byombo vya sharia ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Watu wanashindwa kabisa kumuelewa PASKALI,inatakiwa utulize akili na umsome kinyume nyume.A figurative language should remain figurative language for a good sake. Ila wanaotaka kumwelewa Mayala wamemuelewa sana tu. Ni sawa na aliyeandika kitabu cha nchi ya kusadikika tulimuelewa tu
Wat goes around comes aroundAliyuemtolea nape bastola anajulikana vzr sana, ipo siku yake kikombe kilekile lazima atakinywea na kitakuwa cha shubiri mara 1000 kuliko cha Nappe.
Anayeweza kukamatwa ni mtu tuu anayejulikana, asiyejulikana hawezi kukamatwa!, unamkamataje mtu asiyejulikana?.Mkuu huyo mtu hajulikani kwa nani? Ikiwa ni kwa Wananchi sawa. Lakini kwa vyombo vyetu vya ulinzi haiingii akilini. Maana walikuwepo eneo la tukio na walishudia kwanini wasimkamate?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mayalla huwa unanichekesha sana maandiko yako na coment zako,Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu ayejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na byombo vya sharia ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Salute kaka!Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu ayejulikana?!.