Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Dhana ya 'wasiojulikana'ni mystrious.Hivi Dunia hii mtu anaweza kufanya uhalifu asijulikane? Kwa imani tu za kishirikina na imani za malaika wa Mungu huwezi kujificha utaonekana tu.Kuna watu ukiwafanyia ubaya wakachukia tu,aliyefanya ubaya lazima laana imkute.Halafu damu ya mtu pia ni mbaya,inamfuata mhalifu
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.

Hakika hawa ni wazushi tu Bw Pascal !!
 
Nadhani inasikitisha kwa technology iliyopo duniani kwa muda huu serikali ishindwe kumpata aliemtishia name bastola nape.Au waliomshambulia Lissu.Namba za gari iliyokuwa inamfutilia na aina alishawapa zaidi ya hapo ni kazi yao.Pia kama ujuzi wao mdogo wakubali vyombo vya nje vije vitusaidie.Tunajua elimu za polisi hapa nchini.Hivyo kuomba msaada si vibaya na ingeondoa dhana ya Serikali kuhusika.
 
Baada ya CDM kwenda polisi, walikutana na sura kama ile iliyoonekana ikitoa bastola.
Walipokutanisha macho yao wakatambuana.
Huyo jamaa akaanza kuweweseka.
" Willy Gamba'
Kwani mlinzi wa DAB hajulikani? Mwendeaha operation chafu za DAB hajulikani? "Heli" rekebisha jina hapo nimeandika kisukuma, sijui tofauti ya "l" na "r".

Tutafika tu.
 
Acha uongo!!! jamaa ndio kwanza anapeta anawapeleka hahabusu mahabusu..
chade.jpg
 
Back
Top Bottom