Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,892
Tanzania Daima
Hakika CDM ni .
@Pascal Mayalla ndugu yako nasikia frustration zinampanda hovyohovyo.Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape vastola. ili hali ni mtu ayejulikana?.
Japo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini ni mtu asiyejulikana, hawa Tanzania Daima watajuaje?.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Baada ya CDM kwenda polisi, walikutana na sura kama ile iliyoonekana ikitoa bastola.Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape vastola. ili hali ni mtu ayejulikana?.
Japo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini ni mtu asiyejulikana, hawa Tanzania Daima watajuaje?.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Unafanya promo ya kagazeti kakufungia maandazi??!!
Paskali,Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape vastola. ili hali ni mtu ayejulikana?.
Japo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini ni mtu asiyejulikana, hawa Tanzania Daima watajuaje?.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Pascal kweli umaamini haya maneno ulio yaandika??Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape vastola. ili hali ni mtu ayejulikana?.
Japo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini ni mtu asiyejulikana, hawa Tanzania Daima watajuaje?.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Baada ya CDM kwenda polisi, walikutana na sura kama ile iliyoonekana ikitoa bastola.
Walipokutanisha macho yao wakatambuana.
Huyo jamaa akaanza kuweweseka.
" Willy Gamba'
Pascal kweli umaamini haya maneno ulio yaandika??