Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Gazeti hilo kwa uongo.. ndio maana haliuzi kama enzi za Dr. Slaa

Bomu kabisaaaaa
Habari ya mujini kwa sasa ni gazeti la uhuru, mzalendo, tanzanite na jamvi la habari haya ndio yanayouza sana kwa sasa
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Pascal nimekuelewa sn,inahitaji busara na akili mtu kukuelewa.....
 
Hakuna Mtu wa ' System ' aliye Mpumbavu hivyo. Tanzania Daima wasidhani Watanzania wote ni ' Magoigoi ' Vichwani.
Siku za nyuma nilikuelewa kama unayejitambua
Nta mnyar'wanda wu mtuts'i yoba igichunchu nkawowe!
 
Mkuu Yombo, so suala la kuamini Maneno niliondika, bali moja ya sifa yangu kuu humu jf, ni kuwa mkweli Daima!. Mimi ni verified member na siku zote husema ukweli. Yule aliyemtishia Nape bastola ni mtu aliyejulikana, na uzuri wangu, mimi kama mwandishi mzoefu, sisi waandishi sio tuu tunauwezo wa kuwabaini wasiojulikana, bali tuna vifaa vya kunasia picha na sauti za wasiojulikana hawa!. Tukio la Nape kutishiwa bastola, waandishi tumerekodi video, tumepiga picha, tumezisambaza kwenye media zote hadi mitandao ya kijamii, lakini ikathibitishwa pasipo shaka kuwa mtu yule ni mtu asiyejulikana!.

Hivyo hapa nimwazungumza vizuri wasiojulikana hawa
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.

Na sikuishia katika kuwataja tuu wadiojulikana hawa, bali kama mwana media mkongwe, nikatoa vito kwa Watanzania wenye uwezo wa kuisaidia serikali yetu inaposhindwa, tujitokeze kuisaidia, mimi nikajitokeza na kusaidia namna ya kuwabaini wasiojulikana waliomshambua Lissu hadi kuelekeza watu wa kuwahoji.

WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

P.
Nilichoshangaa ni kule kujiita msema ukweli. Mbna kwa maelezo yako unamanisha mtu huyo anafahamika inakuaje unasema ajulikani wakati wandishi mlirekodi tukio na kusambaza kwenye mitandao. Afu Leo unatuambia ni mtu asiyejulikana, je kwamba zile pic na video mlivyokua mnasambaza mlikua waongo? Na kama mlikua waongo mlifanya kwa manufaa ya nani? Elewa kua ukweli unajitenga na uongo kusema serikali kua yule mtu ajulikani wakt picha zipo sio ndo kuubadili ukweli.
 
Gazeti hilo kwa uongo.. ndio maana haliuzi kama enzi za Dr. Slaa

Bomu kabisaaaaa
Tangu lini uliajiriwa kama ofisa mauzo wa gazeti la Tanzania Daima? Kama umechoka kufanya kazi na Uhuru kawasaidiie Tanzanite kupambana na hali yao!
 
Kweli nimeamini mtoa bastola hajulikani.
1: Wabunge wa Chadema waliokuwepo polisi central hawajalijua jina la mtoa bastola hadi leo.
2: Mwandishi wa Tanzania Daima amekiri kutokufahamu jina la mtoa bastola( pamoja na kujigamba kwake)
Mwandishi ameshindwa kutumia mbinu (MM) mbinu za medani kumnasa mtoa bastola kwa picha ya karibu na kurekodi majigambo yake?
Paskal nisaidie hayo maswali yangu tafadhali
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.

Mimi nimemwelewa sana ndugu yangu Pascal, unamtambuaje mtu asijulikana? Unveiled the mystery first to identify the person.
 
Hakuna Mtu wa ' System ' aliye Mpumbavu hivyo. Tanzania Daima wasidhani Watanzania wote ni ' Magoigoi ' Vichwani.
system mawe hii ya akina bashite wafukiwa mataulo na akina kibamia dah system ya enzi hii ni uchwara tu ona nchi inavyoyumba
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Kaka Paskali umebobea kwenye matumizi ya figurative language.

Salute kwako.
 
Back
Top Bottom