Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
Askari mara askari wa usalama wa Taifa, alafu yupo kituo cha polisi sasa sijaelewa polisi na usalama wa Taifa ni Taasisi mbili tofaut vp wakutane kituo cha polisi...
Tulisha kususa kitambo wewe gaucho
Tangu siku ile alipojipendekeza kuomba kibarua kwa jiwe lkn akaambulia kuitwa NJAA basi tenaMkuu,paskali huu ndo uandishi wake zama hizi.anahofu na jiwe kwelikweli.(kiongozi wa malaika).
Mafuta kwa mgongo wa chupa
Lidondoke tu la nini sasa huku kwetu? Na Siku likidondoka lifie hapo hapo!@Pascal Mayalla ndugu yako nasikia frustration zinampanda hovyohovyo.
Mwambie awe makini asije dondoka jukwaani....
Uhuru na TBCccm ndivyo vyombo vya habari pendwa vinavyounzwa @chokochanel, bora uugue kiasuri...hun mchngo kwa afya ya taifa.Gazeti hilo kwa uongo.. ndio maana haliuzi kama enzi za Dr. Slaa
Bomu kabisaaaaa
Taaluma ya hii ya uandishi ni taalum ngumu inawezekana kuliko hata kucheza draft,lakini mnayoyaandika wakati mwingine yanapoteza maana ya kupasha habari,mnatanguliza kupata pesa,Aliyeandika kwenye gazeti(mwandishi wetu) na wewe Paschal Wote sijawaelewa!Naona mmerudia rudia tu manenoHili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Jitambue dogo hujui jf ni nyumba ya weledi?unajuwaje mleta uzi naye pia ni Tiss?Nyie ndo mnaweweseka na magazet yenu uchwara, cha kwanza hyo jamaa hayuko dar, yko mikoa ya kaskazin na ni boss wa TISS kwenye idara muhim ambayo siwez itaja. baada ya suala la nape alihamishwa acheni umbea
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tatizo alijifanya mjuaji saaaaana kuliko wenziee.we baada aulize maswali ya kumtukuza yeye anaanza uchochezi tena kadamnasi.Tangu siku ile alipojipendekeza kuomba kibarua kwa jiwe lkn akaambulia kuitwa NJAA basi tena
Kweli Paskali alibugi step kwa kudhani anajitfutia ujiko[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tatizo alijifanya mjuaji saaaaana kuliko wenziee.we baada aulize maswali ya kumtukuza yeye anaanza uchochezi tena kadamnasi.
Na namvyo mjua mzilankende alishamuwekea kinyongo paskali.ni vile tuu hana chombo anachokiandikia maalum.angestaafishwa kwa manufaa ya watu wa ICHATO KINGDOM[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ccc.mkuu paskali mr njaa(nzalaa)Kweli Paskali alibugi step kwa kudhani anajitfutia ujiko
Kama ingekuwa mtihani ndio ushafeli! Pascal kakuwekea mpaka reference chini lakini bado hujang'amua kitendawili!Pascal kweli umaamini haya maneno ulio yaandika??
Umenena vizuri sana kaka ni kweli kbsa.Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.
Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.
Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Mkuu Pascally,Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.