Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Ningefurahi zaidi kama hata sura ya huyo anayejiita 'aliyemtishia Nape bastola' ingeonekana hapa. Kwa teknolojia ilivyobamba, sidhani kama wabunge wote hao, akiwemo mwanahabari dada yangu Esther Bulaya, walishindwa hata kumfotoa ili walau watu waone sura yake na kuilinganisha na ile ya wakati uleee.

Kinachoonekana hapa ndugu zangu walisimuliwa, hawakuwepo kwenye tukio. Kimtazamo tu, angesimulia hapo mtu wa chama tawala kidogo ningeweza kusadiki japo kwa mbali, lakini kama jamaa zangu wamesimuliwa na wabunge wa upinzani wenye 'nasaba' na gazeti hilo, nachelea kuamini.

Hii habari ilifaa kuandikwa na 'magazeti pendwa' siyo TanzaniaDaima.

DM
 
Gazeti hilo kwa uongo.. ndio maana haliuzi kama enzi za Dr. Slaa

Bomu kabisaaaaa
Nani alikwambia haliuzi?
Unajua huwa wana-produce na kuuza copy ngapi? binafsi nakufaham ww kama miongoni mwa watu mliotumwa na chama kuja kuhujumu mawazo ya watanzania mitandaoni,haupo peke yako upo ww, Stroke,Rutashobolwa na wengine wengi na hakika ukweli utabainika siku ikiwadia!
 
Kweli nimeamini mtoa bastola hajulikani.
1: Wabunge wa Chadema waliokuwepo polisi central hawajalijua jina la mtoa bastola hadi leo.
2: Mwandishi wa Tanzania Daima amekiri kutokufahamu jina la mtoa bastola( pamoja na kujigamba kwake)
Mwandishi ameshindwa kutumia mbinu (MM) mbinu za medani kumnasa mtoa bastola kwa picha ya karibu na kurekodi majigambo yake?
Paskal nisaidie hayo maswali yangu tafadhali
Ndiyo maana nikasema hii habari imelishushia hadhi gazeti makini kama TanzaniaDaima. Purely Yellow Journalism.

Unless waseme kwamba wameamua kuiweka kwa 'shinikizo', vinginevyo hawakwenda beyond the doubts.
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Walipo sema hajulikani watu walipost tupicha ikawa kimyaaaaa!
 
Nilichoshangaa ni kule kujiita msema ukweli. Mbna kwa maelezo yako unamanisha mtu huyo anafahamika inakuaje unasema ajulikani wakati wandishi mlirekodi tukio na kusambaza kwenye mitandao. Afu Leo unatuambia ni mtu asiyejulikana, je kwamba zile pic na video mlivyokua mnasambaza mlikua waongo? Na kama mlikua waongo mlifanya kwa manufaa ya nani? Elewa kua ukweli unajitenga na uongo kusema serikali kua yule mtu ajulikani wakt picha zipo sio ndo kuubadili ukweli.
mkuu, pascal sio muongo ila ametumia "kajeli" katika uandish wake, ni ngumu kumuelewa kama hikupitia kidogo masuala ya fasihi au hats kufikirisha akili yako Mara tatu tatu!
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.

Nimecheka kama boya. Halafu wewe! yaani mtu asiyejulikana amtishie Nape bastola ili iweje? kwani kuongea kwa vyombo vya habari kwa Nape kungeleta madhara gani kwa huyo mtu asiyejulikana?

h=Hivi vichekesho hivi
 
Ningefurahi zaidi kama hata sura ya huyo anayejiita 'aliyemtishia Nape bastola' ingeonekana hapa. Kwa teknolojia ilivyobamba, sidhani kama wabunge wote hao, akiwemo mwanahabari dada yangu Esther Bulaya, walishindwa hata kumfotoa ili walau watu waone sura yake na kuilinganisha na ile ya wakati uleee.

Kinachoonekana hapa ndugu zangu walisimuliwa, hawakuwepo kwenye tukio. Kimtazamo tu, angesimulia hapo mtu wa chama tawala kidogo ningeweza kusadiki japo kwa mbali, lakini kama jamaa zangu wamesimuliwa na wabunge wa upinzani wenye 'nasaba' na gazeti hilo, nachelea kuamini.

Hii habari ilifaa kuandikwa na 'magazeti pendwa' siyo TanzaniaDaima.

DM
sikiriza mkuu nikuambie, uwepo wake hapo ulikuwa ni rasmi kwa akili ya hao makada wa cdm xo akili zake zote zilikuwa kwa hao, kwa hiyo wasingeweza wala kuthubutu kumfotoa huyo asiyejulikana na kujaribu kufanya hivyo ni kujiingiza kwenye anga za wasiojulikana mapemaaa wakat inawezekana hawakuwa na time na wewe!
 
Baba heshima kwako

Hivi kwa utamaduni wa woga wa tz tuliokuwa nao, unadhani mtz gani jasiri,mmiliki silaha kumnyooshea waziri mstaafu bastola hadharani halafu useme hajulikani? Mkuu kwanza kumiliki tu bastola kwa mtanzania wakawaida ni ngumu sana,
Tatizo letu watanzania tunasoma lakini hatutafakari tulichosoma. Anyway nadahani hapa kuna std seven gradutes wengi tu ndio maana mnashindwa kuelewa maandishi rahisi kama haya ya Paskali. Rudia tena soma na soma utaelewa ana maana gani.
 
Nilichoshangaa ni kule kujiita msema ukweli. Mbna kwa maelezo yako unamanisha mtu huyo anafahamika inakuaje unasema ajulikani wakati wandishi mlirekodi tukio na kusambaza kwenye mitandao. Afu Leo unatuambia ni mtu asiyejulikana, je kwamba zile pic na video mlivyokua mnasambaza mlikua waongo? Na kama mlikua waongo mlifanya kwa manufaa ya nani? Elewa kua ukweli unajitenga na uongo kusema serikali kua yule mtu ajulikani wakt picha zipo sio ndo kuubadili ukweli.
Rudia tena kusoma utamwelewa Paskali. Usimwelewa uliza wenzako!
 
Hili gazeti watakuwa ni wazushi tuu!, wanawezaje kumjua mtu aliyemtishia Nape bastola. ili hali ni mtu asiejulikana?!.
Japo mtu huyo alipigwa picha na video na sura yake kubainika wazi, lakini kwa mujibu wa vyombo husika, hawamjui mtu huyo. hivyo ni mtu asiyejulikana!, hawa Tanzania Daima watawezaje kumbaini mtu asiyejulikana wakati serikali yenyewe yenye mkono mrefu unafika kila mahali, wameshindwa kumpata?. Hawa Tanzania Saima watakuwa ni waongo hawa, wazushi tuu!, watajuaje?.

Nijuavyo mimi alyemtishia Nape bastola ni mtu asiyejulikana na mpaka sasa anatafutwa na vyombo vya sheria ili afikishwe mahakamani maana ni kosa la jinai, mtu kumtishia mtu bastola.

Hata waliomshambulia Tundu Lissu pia ni watu wasiojulikana na wanatafutwa!, kinachokwamisha kupatikana kwa watu hawa ni mtu pekee alyewashuhudia, amekataa kutoa ushirikiano kwa polisi ili wawakamate, hivyo mtu huyo anasubiriwa, akiishapatikana na kuelezea wakoje, ndipo uchunguzi wa kuwabaini uanze!.

Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
P.
Kosa ndio hilo la kumpiga picha na kusambaza, ingekuwa tofauti kama kusingekuwa na picha yoyote na angekuwa ameshakamatwa...Hata tukio la Nondo lingerekodiwa wasingeng'amua mapema hivyo kuwa amejiteka...wangesema wanasubiri uchunguzi.

Kuhusu Dereva, aje tu wakompee alichoona na kinachoonekana kwenye cctv, usiwe bias Mkuu.
 
Ndiyo maana nikasema hii habari imelishushia hadhi gazeti makini kama TanzaniaDaima. Purely Yellow Journalism.

Unless waseme kwamba wameamua kuiweka kwa 'shinikizo', vinginevyo hawakwenda beyond the doubts.
Ninavyowajua viongozi wa Chama( mdee,mnyika,heche, matiko ester, bulaya) wamuone hasimu wao halafu wamuache,never. Kama walizivamia ofisi za Kailima( Posta building) na kuwatisha walinzi, sembuse mtoa bastola.
Hawa waandishi wanauza pages baada ya kufunguliwa kutoka kifungoni.
 
Runing out of ideas think outside the box
 
1: running.
My points focus on people's evidence and nothing more. By understanding the nature and first habits of the aforementioned leaders ,only the GT will concur with my narrations.
To jump in front of horse cat will put you aside.
 
Baada ya CDM kwenda polisi, walikutana na sura kama ile iliyoonekana ikitoa bastola.
Walipokutanisha macho yao wakatambuana.
Huyo jamaa akaanza kuweweseka.
" Willy Gamba'
Will Gamba namkubali sana kwenye kitabu cha HOFU.
 
Back
Top Bottom