Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.

Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.

Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.

Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!

Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.

Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.

Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.

Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.

Muwe na Jumamosi njema.
Hana mapigo mengine zaidi ya mauaji huyo. The gran Fuhrer.
 
kuna watu sijui wana nini kwenye vichwa vyao, ila sawa, Mungu huwa anabalance

eti diaspora wapewe kipaumbele, kwa uji kama huu?
 
Kukataa kumuhudumia ndiyo kumedhihirisha kuwa CCM na serikali yake ndiyo imemmiminia Lisu risasi 38 kwenye nyumba za serikali baada ya kuwashinda kwa hoja.

Hii political assassination ni mistake itakayomganda Pombe katika maisha yake yote.
[HASHTAG]#Akatubu[/HASHTAG]
 
Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.

Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.

Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.

Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!

Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.

Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.

Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.

Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.

Muwe na Jumamosi njema.
Tundu had distinguished clearly two facts
1. Who he believed did this heinous act and circumstantial reasons for his belief
2. The responsibility of the parliament for his treatment by law and his suspicion that the people in the parliament had at least by their action sympathise with perpetrators of the act
 
Wewe Nyani siku hizi umekuwa wa ajabu sana, ndio maana jamaa yako Kiranga kakukimbia jamvini
 
HATA HUKO CHADEMA hayupo salama kama adhaniavyo.....Aache kumwamini m/kiti wake wala Nyeupe......

Lissu nakushauri kuropoka jihadhari ADUI ZAKO una wajua vizuri....Na si MAGUFULI.....
Mpaka sasa hivi ni wewe ndio umeshikiria mustakabali wa MBOWE NA EL hapo chadema.....
1. Wenye akili wengi wanahisia kama hizo. Hisia hizo zinachochewa zaidi na kitendo cha dereva wake kufichwa kusikojulikana na umaarufu wake ndani ya chama hadi kuanzwa kufikiriwa kuja kuwa mgombea wa urais au uenyekiti wa chama chake. Hisia (siyo tuhuma) kama hizi haziwezi kuepukika kwa urahisi. Chadema wamfikishe dereva huyo polisi ili akasaidie uchunguzi ili kupunguza hisia hizi zisizokuwa na rutuba kwa chama hiki kikuu cha upinzani (opposition not confrontation party).

2. Namna shambulio lilivyopangwa na kutekelezwa ni dhahiri kabisa lilifanywa na wahuni wasiokuwa na weledi wo wote. Wahuni walioliokodiwa na mtu au kikundi cha watu na kupewa silaha hiyo nzito (SMG) ya kufanyia huo unyama huo. Haingii kichwani eti mijitu inaifuata gari ya target wao kwa nyuma mchana saa saba hadi kwenye compound ya nyumbani kwake, target wao akiwa ana park gari yake mijitu hii inateremka kutoka kwenye gari yao na kuanza ku burst shoot target yao 38 bullets at close range na kui miss hiyo target na kuambulia kuipiga miguu na makalio only!!! It doesn't make sense. Hawa lazima wawe ni wahuni tu wa mitaani wasio na ujuzi wa silaha. A trained soldier angali hit the head or heart of the target with just one bullet fired when overtaking the target's vehicle in speed and that bullet would have been fired from a pistol and not an SMG!

3. Mienendo ya kisiasa aliyokuwa akifanya Tundu Lissu lazima itakuwa imemujengea chuki ndani ya makundi kadhaa ya jamii ndani na nje ya nchi. Tumeshuhudia katika hii miaka ya karibuni jinsi makundi fulani ya kisiasa (huko nyuma tuliyaita wakereketwa) yamekuwa yakifanya siasa za chuki na mapambano ya nguvu hadi kujeruhi wenzao. Imefikia mtu au kikundi cha watu kikionekana mtaani kimevaa uniform ya cha cha kijani kinavamia na kupigwa na makamanda wa chama fulani. Ushabiki wa vyama vya kisiasa badala ya kuwa kama ule tuliouzoea wa Yanga na Simba, sasa umekuwa ni wa matusi na kushambuliana hadi wengine kuuawa, kutekwa nk. Makundi haya yamekuwa ni ya uhasama. Yaliyotokea huko Kibiti na hata haya yaliyompata Lissu yanaweza yakawa yamesababishwa na makundi haya ya wakereketwa wa siasa za uhasama na mapambano. Lissu mwenyewe alikuwa na bado anaendelea kuwa kinara wa siasa hizi za uhasama na mapambano. It is absolutely wrong to point any accussation finger to the government on what befell of Mr Lissu.
 
Kwenye hili LISSU anakosea sana alitakiwa kuwa neutral kabsa na kuacha kupoint mtu direct eti ndio muhusika kwenye jaribio la kutaka kumuua...

kwanini nashauri alitakiwa kuwa NEUTRAL ni kwa sababu HATA HUKO CHADEMA hayupo salama kama adhaniavyo.....Aache kumwamini m/kiti wake wala Nyeupe......

Lissu nakushauri kuropoka jihadhari ADUI ZAKO una wajua vizuri....Na si MAGUFULI.....
Mpaka sasa hivi ni wewe ndio umeshikiria mustakabali wa MBOWE NA EL hapo chadema.....
Tutatoa ushauri wa kila aina lakini, kuna tatizo kichwani. Sijui kwa nini baadhi wanaona Lissu ana uelewa. Kwa upande wangu sioni uelewa wa kiwango tunachompa. Si mtu anayejifahamu sana. An tabia awe au afahamike ni mkubwa.

Ukimsikiliza kila wakati atataja vyeo vya Bungeni, ndani ya chama, na kwenye chama cha wanasheria. Kwake anaona ni mtaji wa kupewa huduma au kusikilizwa. Sioni ukubwa huo bila akili nyuma yake. Angejifahamu asingeweza kusema hayo akiwa Nairobi. Yaani hapo ndo anaamini ni mafichoni? Je, Serikali ya Kenya anaamini inapenda sana domo lake, ndani ya nchi yao?
 
Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.

Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.

Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.

Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!

Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.

Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.

Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.

Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.

Muwe na Jumamosi njema.
Ni haki yake kisheria jamani mbona mgumu kuelewa?
 
Huko aliko yakitokea mengine wasijesingizia CCM. .......Belgium ....hatua waliyofikia hata akiumwa na nyoka wataitisha press kuilaumu CCM !
 
matibabu hayatoki kwa fadhira ya mtufulani yanatoka kw mujibu wa sheria na taratibu za nchi,so Lissu haombi kwa wale anaohisi wamemdhuru anaomba kwa mujibu wa kanuni na sheria za nchi kama ulivyo mshahara na stahiki zingine anazozipata Mjomba magu nk
Mlizokusanya kwa mbwembwe na kudai hamtaki msaada wa Serikali zimeisha!nyinyi ni majuha kweli!wanafki wakubwa!kunawagonjwa wengi wanahitaji msaada wa Serikali na si kibaraka &msaliti TL! Figo mmeshauza au tuwasaidie kutafuta masoko?
 
Wakutiliwa mashaka kwenye hili mpaka atakapojulikana mhusika ni:

1. Usalama au sector fulani ya serekali
2. Sector fulani ya Chadema
3. Wanasiasa wanaomchukia wade wa Chaka tawala ama upinzani.
4. Wafanyi Biashara aliokuwa akiwaandama bungeni.
5. Washindani wake wa kisiasa

..good points.

..sasa ongezea hoja za TL.

..Area D Dodoma aliposhambuliwa TL, getini na kwenye makazi kunalindwa na askari 24/7.

..siku ya tukio hawakuwepo.

..CCTV camera zimeondolewa.

..katika makundi yote uliyoyataja hapo juu nani anaweza kufanya shambulizi ktk mazingira hayo?
 
Mlizokusanya kwa mbwembwe na kudai hamtaki msaada wa Serikali zimeisha!nyinyi ni majuha kweli!wanafki wakubwa!kunawagonjwa wengi wanahitaji msaada wa Serikali na si kibaraka &msaliti TL! Figo mmeshauza au tuwasaidie kutafuta masoko?
mbona una povu kubwa hivyo utadhani unakata roho,shida nini
 
Hofu na hisia zangu ni kuwa hili tukio limefanywa na hao wanaomzunguka wakiwa wame target kuichafua Serikali na hapo hapo kummaliza huyo Lisu asijefanya mapinduzi kwenye Chama chao maana tayari nyota yake ilishakubalika na wanachama wao ambao wengi wameshapoteza imani na Mwenyekiti.

Nina wasi wasi na hofu pia huko wanakompeleka isije ikawa ndio mpango wa kummaliza kabisa ili warudi na kuanza propaganda kuwa ni Serikali ndio imemuua.

Naandika haya maana kwa sasa na mwenendo wa hiki chama ni wa kutia mashaka sana.
Huna akili, kama hivyo ndivyo mbona wachunguzi huru mnakataa ambao wangewaumbua hao walio mzunguka? mbona siku ile walinzi waliondolewa na hatujaambiwa kwa nini hawakuwapo? mbona kamera za CCTV zilizokuwepo zimeondolewa na haisemwi ni nani kaziondoa? kwa hiyo hao walio mzunguka Lissu ndio wameenda na kuondoa kamera kwa jirani waziri na kwa Naibu spika?
Kwa hoja kama hii yako mtu akikuita mpumbavu atakuwa kakutukana? nadhani jibu ni hapana bali atakuwa amekuelezea ulivyo
 
Teh teh teh....nimeamua kuwatemesha nyongo aisee. Niwaharibie weekend yao.

I know them like the back of my hand. I know how to aggravate them. I’m a leading expert at it.

Hahahaaaaaa.
Umeshindwa kuwatemesha wazazi wako idiot uje kuwatemesha nyuma ya kibodi hao mnaoitana makamanda
 
Back
Top Bottom