Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Serikali haijakataa kuhudumia lisu. Ila nakumuka kaman lissu aliamriwa apelekwe muhimbili cdm wakagoma, na wakaamua kuagiza ndege kenya ikaja kumchukua wakati tanzania wakiwa wameshatuma ndege ya kuja kumchukua lissu. Na kesho yake tu kamanda mmoja hivi akasema hatuhitaji fedha ya serikali kwa matibabu ya mgonjwa, na hatuhitaji serikali ihusike na matibabu yake, bunge wakachanga pesa, kamanda yuleyule akasema hatuzihitaji. Na mwingine akaenda zaidi kwa kusema watauza figo zao ili wapate hela za matibabu hajui ya kwake imeathirika na drugs. Mambo yalipobana wakaanza kulaum oooh serikali mara hivi mara vile. Ngoja niwambie nyie nyumbu. Kama mngehitaji serikali ihudumia mbunge mngeacha matibabu yake yaratibiwe na serikali na sio nyie, hivyo mngekuwa na jukumu la kufuatilia tu maendeleo ya hali yake.
Yule mjeda alipelekwa Muhimbili
walikua na adabu