Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Kama wenye akili wengi nawe ni mmoja wapo basi hilo kundi la "wenye akili" hilo sio jina sahihi la kuwaita bali "wenye upumbavu" wengi.1. Wenye akili wengi wanahisia kama hizo. Hisia hizo zinachochewa zaidi na kitendo cha dereva wake kufichwa kusikojulikana na umaarufu wake ndani ya chama hadi kuanzwa kufikiriwa kuja kuwa mgombea wa urais au uenyekiti wa chama chake. Hisia (siyo tuhuma) kama hizi haziwezi kuepukika kwa urahisi. Chadema wamfikishe dereva huyo polisi ili akasaidie uchunguzi ili kupunguza hisia hizi zisizokuwa na rutuba kwa chama hiki kikuu cha upinzani (opposition not confrontation party).
2. Namna shambulio lilivyopangwa na kutekelezwa ni dhahiri kabisa lilifanywa na wahuni wasiokuwa na weledi wo wote. Wahuni walioliokodiwa na mtu au kikundi cha watu na kupewa silaha hiyo nzito (SMG) ya kufanyia huo unyama huo. Haingii kichwani eti mijitu inaifuata gari ya target wao kwa nyuma mchana saa saba hadi kwenye compound ya nyumbani kwake, target wao akiwa ana park gari yake mijitu hii inateremka kutoka kwenye gari yao na kuanza ku burst shoot target yao 38 bullets at close range na kui miss hiyo target na kuambulia kuipiga miguu na makalio only!!! It doesn't make sense. Hawa lazima wawe ni wahuni tu wa mitaani wasio na ujuzi wa silaha. A trained soldier angali hit the head or heart of the target with just one bullet fired when overtaking the target's vehicle in speed and that bullet would have been fired from a pistol and not an SMG!
3. Mienendo ya kisiasa aliyokuwa akifanya Tundu Lissu lazima itakuwa imemujengea chuki ndani ya makundi kadhaa ya jamii ndani na nje ya nchi. Tumeshuhudia katika hii miaka ya karibuni jinsi makundi fulani ya kisiasa (huko nyuma tuliyaita wakereketwa) yamekuwa yakifanya siasa za chuki na mapambano ya nguvu hadi kujeruhi wenzao. Imefikia mtu au kikundi cha watu kikionekana mtaani kimevaa uniform ya cha cha kijani kinavamia na kupigwa na makamanda wa chama fulani. Ushabiki wa vyama vya kisiasa badala ya kuwa kama ule tuliouzoea wa Yanga na Simba, sasa umekuwa ni wa matusi na kushambuliana hadi wengine kuuawa, kutekwa nk. Makundi haya yamekuwa ni ya uhasama. Yaliyotokea huko Kibiti na hata haya yaliyompata Lissu yanaweza yakawa yamesababishwa na makundi haya ya wakereketwa wa siasa za uhasama na mapambano. Lissu mwenyewe alikuwa na bado anaendelea kuwa kinara wa siasa hizi za uhasama na mapambano. It is absolutely wrong to point any accussation finger to the government on what befell of Mr Lissu.
Kama washambuliaji lilikuwa kundi la wahuni ilikuwaje waingie kwenye makazi ya viongozi bila hofu na walinzi wawe hawapo siku hiyo? CCTV ziko wapi na nani kazing'oa? Lazima uwe kwenye kundi hilo la "wenye upumbavu" wengi ndio huwezi kujiuliza maswali kama hayo.