Rekebisha, hawaombi Ila wanataka.Jamaa walianza kwa mbwembwe na kudai hawahitaji senti moja ya Serikali maana wao ndio waliotaka kumuua sasa nashangaa wanaomba pesa
Kwenye hili LISSU anakosea sana alitakiwa kuwa neutral kabsa na kuacha kupoint mtu direct eti ndio muhusika kwenye jaribio la kutaka kumuua...
kwanini nashauri alitakiwa kuwa NEUTRAL ni kwa sababu HATA HUKO CHADEMA hayupo salama kama adhaniavyo.....Aache kumwamini m/kiti wake wala Nyeupe......
Lissu nakushauri kuropoka jihadhari ADUI ZAKO una wajua vizuri....Na si MAGUFULI.....
Mpaka sasa hivi ni wewe ndio umeshikiria mustakabali wa MBOWE NA EL hapo chadema.....

Kwamba angepelekwa Muhimbili kwanza au UPI?Shida ni utaratibi ndugu, haukufuatwa na hicho ndo cdm huwaponza siku zote
Kwenye hili LISSU anakosea sana alitakiwa kuwa neutral kabsa na kuacha kupoint mtu direct eti ndio muhusika kwenye jaribio la kutaka kumuua...
kwanini nashauri alitakiwa kuwa NEUTRAL ni kwa sababu HATA HUKO CHADEMA hayupo salama kama adhaniavyo.....Aache kumwamini m/kiti wake wala Nyeupe......
Lissu nakushauri kuropoka jihadhari ADUI ZAKO una wajua vizuri....Na si MAGUFULI.....
Mpaka sasa hivi ni wewe ndio umeshikiria mustakabali wa MBOWE NA EL hapo chadema.....
Makamanda kibao walimsifia. Ulikuwa umelala?Amsifie nani huyo mkoloje? Sifianeni wenyewe.
Milioni 600 mlimnunulia moyo nini? Wajinga ndio waliwao acha Mbowe apige tu pesa hakuna nanmnaRekebisha, hawaombi Ila wanataka.
Hata hivyo sio kusema wameshindwa, ndio maana zaidi ya milioni 600 zimetumika na bado mgonjwa kapelekwa Ubeligiji
Mawazo ya masikini utayajua tuuMilioni 600 mlimnunulia moyo nini? Wajinga ndio waliwao acha Mbowe apige tu pesa hakuna nanmna
Wee tajiri kwenye hizo 600 wee ulimchangia Mbowe ngapiMawazo ya masikini utayajua tuu
Haombi bali anadai, ni haki yake.Jamaa walianza kwa mbwembwe na kudai hawahitaji senti moja ya Serikali maana wao ndio waliotaka kumuua sasa nashangaa wanaomba pesa
Huyo ni mkabila.Kuna vitu vitatu ninavyohisi kimojawapo kinamsumbua au vyote kwa pamoja huyo mleta uzi aitwaye Nyani ngabu , anaweza kuwa anaandika humu lakini akawa MASIKINI WA KUTUPWA , au aweza kuwa MSHAMBA SANA ama anaweza kuwa MCHAWI MNO , Kumbuka mauaji ya Albino yalianzia kanda ya ziwa .
Nyani Ngabu Pesa sio za Rais wa wala Ccm, pesa ni za serikali ya Jamhuri ya Muungano. Ni wajibu wake kutibiwa na serikali.
Hofu na hisia zangu ni kuwa hili tukio limefanywa na hao wanaomzunguka wakiwa wame target kuichafua Serikali na hapo hapo kummaliza huyo Lisu asijefanya mapinduzi kwenye Chama chao maana tayari nyota yake ilishakubalika na wanachama wao ambao wengi wameshapoteza imani na Mwenyekiti.Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.
Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.
Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.
Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!
Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.
Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.
Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.
Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.
Muwe na Jumamosi njema.
Nitakuwa fala eti unanituhumu nimekudhuru halafu unaniambia niwe karibu na wewe. Huo ni utoto,sawa sawa unanituhumu nagegeda mke wako halafu unataka niwe naye karibu. Serikali ina akili sio kama upande wenu wa kueopoka huo