Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

Wenye akili nyingi huwa hawafikiri in a simple way kama ulivyofanya. They think in a complex way wakiangalia all possible circumstances. Kwa mfano:
1. Saa hizo wabunge wengi walikuwa wanarejea kwenye eneo hilo walilopanga kwenda kupata chakula cha mchana kwenye nyumba zao. Eneo lina nyumba nyingi ila geti la kuingilia eneo hilo ni moja likiwa na mlinzi mmoja (armed or unarmed). Magari yaliyobeba hao waheshimiwa yanaingia kila baada ya muda wa dakika tano au kumi. Gari la Mh Lissu linakuja likiwa limeongozana na gari la waheshimiwa wengine (Nissan nyeupe). Kwa mazoea yetu waheshimiwa hawa wabunge na wengine huwa hawapendi mlinzi wa geti asimamishe magari yao getini na kuanza kukagua waliomo ndani na kuwahoji wao ni akina nani. Kwetu tendo hilo la kudodosa waheshimiwa ni ukosefu wa nidhamu kwa mlinzi mwenye tabia kama hiyo. Kwetu nidhamu ya mlinzi ni kufungua geti mara moja anapoona gari la mheshimiwa linapokuja ili mheshimiwa na alioambatana nao waweze kuingia bila bughudha ya kufanyiwa thorough search! Ndivyo watanaznia tulivyo, tumelemazwa na amani. Kwa kutumia mwanya huo 'waheshimiwa' waliokuwa kwenye shangingi nyeupe iliyoongozana na shangingi nyeusi ya Mh Lisu waliingia kwa pamoja ndani ya eneo hilo na kusimamisha magari yao. Then in seconds mmoja wa waliokuwemo kwenye lile gari jeupe alitoka na kuanza ku spray bullets from a heavy automatic gun!! Wenye akili wanaona scnerio ilivyokuwa kihalisia na reaction ya huyo au hao walinzi wa geti la waheshimiwa kama alikuwa au walikuwa karibu na risasi zilipokuwa zinamiminwa. Reflex reaction kwa askari yo yote kwenye such a situation ni kulala chini and craw fast to a nearet cover to save his life. Hayo mambo yalitokea in seconds na hao assillants kutokomea, geti likiwa bado liko wazi na magari mengine ya waheshimiwa wabunge hayajafika kwenye eneo hilo kuja kupata chakula cha mchana.

Ni ujinga kuamini kuwa walinzi waliokuwapo eneo hilo la geti na sehemu zingine hawakuhojiwa na polisi. Pia ni upumbafu kufikiri kuwa mlinzi au walinzi waliokuwepo getini wangaliweza kujibu mapigo hayo ya risasi. Vita ya risasi si lelemama, adui yako akikuwahi unachoweza kufanya kama una bahati ni ku take cover. Pia ni ujinga kuamini kuwa kwa sababu eneo hilo linalindwa na askari basi ni salama kwa asilimia 100%. Hata kambi za jeshi na vituo vya polisi vimewahi kumiminiwa risasi na askari kuuawa mara nyingi tu, sasa sembuse hilo eneo na kwa mazingira yetu kama hayo.

Pia ni upumbafu kuamini kuwa uwepo wa CCTV kwenye eneo hilo ndiyo solution ya kuwezesha kuonekana sura za wahalifu hao. Even the most expensive high quality high definition external rotating CCTV cameras hazina uwezo wa kutoa clear images at all 360 degrees anytime and at all distances from object. When the object is more than 3m from camera huwezi pata clear images za kuweza kutambua sura za hao wahalifu. Wenye akili wanajua kwamba the effectiveness as a security tool kwa kunasa sura za wahalifu wa aina hii is almost zero. Tumeshudia huko ulaya magaidi yanavyamia na kushambulia kwa risasi kumbi za burudani na kuua watu, cctvs zao hazikuwa na msaada wa maana katika kuwatambua wahalifu hao. Hapa kwetu ambapo tulizoea madili hiyo kampuni iliyolipwa mabillion kufunga hizo CCTV kwenye eneo hilo la serikali si ajabu kuwa quality ya hizo cameras zilizofungwa ni za quality ya lugumi, hivyo aidha no images or just blurred images.

Isitoshe siku hizi ili kukwepa kuonekana sura zao kwenye ma cctv au kwa watu wengine, wahalifu wa aina hii huvaa masks au miwani myeusi + kofia zilizoshushwa chini kuficha sura zao. Mtu pekee anayejua sura za assaillants hawa pamoja na gari yao ni dereva wa Lissu. Yeye kwa maneno yake alishasema hata kabla ya hitimisho la tukio kwamba ameshawaona mara nyingi tu kuanzia Dar. Wameshawahi hata kukaa kwenye bustani moja ya hoteli fulani huko Dar na wahalifu hao wakiwa kwenye mishe mishe hiyo ya kutaka kumzuru Lissu. Bahati nzuri siku hiyo wakaweza kuwakwepa watu hao na wakatoa majigambo kwenye vyombo vya habari kwa mafanikio hayo.
Dreva wa Lissu anawafahamu vizuri sana watu hao kwa sura na hata namba ya gari lao analijua (ingawa inaweza kuwa feki). Hata walipokuwa wameficha sura zao kwa kofia pale kwenye eneo la tukio aliweza kuwatambua kuwa ni wale wale.

Sasa watu wenye akili inawawia ngumu kuelewa hicho kigugumizi cha huyo dereva kugoma kwenda kuisaidia polisi katika uchunguzi wa hilo tukio sababu yake ni nini haswa? Dereva amefichwa, huko Nairobi haonekani na huku kwetu haonekani. Mke na watoto wake ha2amuoni. Tuelewe nini sasa? Jee naye katekwa na kama katekwa ni nani huyo kamteka kama siyo chama chake. Tunaambiwa eti atasaidia tu jeshi la scotland yard la uingereza au la FBI la amerika lakini siyo jeshi hili la Siro katika uchunguzi wa tukio hili! Ni shida bin shida. Ni siasa za kupambana na serikali iliyowekwa kihalali na watanzania walio wengi!
huu upuuzi peleka Lumumba mvaa hirizi wewe
 
Kama ahusiki haya ya kumkingia kifua yanatoka wapi?Huko Nairobi anatafuta nn?Kama ni serikal inahusika wanakwepa nini kuhojiwa na kushinikiza kupewa majibu ya upande mmoja?Yani wao wamejiweka kundi la innocent na kwa mujibu wao na wafuas wao ni kwamba hawaruhusiwi kuguswa na inatakiwa wapewe majibu nani aliwashambulia,hakuna uchunguz kama huu duniani labda itakua ni Tanzania tu. Sijawah na sifikiri kama ntakuja kumwamini lisu kwa fact hizi mbili moja kama ni Sheria au katiba huwa anaongea juu juu au kusimama kwenye kakifungu kamoja ambako ukifuatilia unaona ni mpotoshaji na hakuna logic,ila ni fundi wa kupangilia maneno sio hoja na ukiplus mihemko utaona jamaa yuko sahh lkn logically he is not correct na pili ni kwamba taratibu za kupata haki yake anazifahamu na hata kama anaona haki yake haitapatikana lkn sharti zifuatwe.Sikuona logic ya kutishiwa na watu wasiojulikana na daily wanakufuata fuata na kwa madai ya dereva ni kwamba wanawafaham,badala ya kwenda kuripot kituoni unaenda kuripot kwenye vyombo vya hbr,cjui kama ndio utaratibu uko hivo na kwa great thinker lzm lzm huoji ni kweli yuko serious? Ni kweli alikua anafuatiliwa na ushahidi anao?Kwanini akwepe kupeleka taarifa kituoni?Na swali hili alipigwa na mwandishi wa BBC na alichemka kulijibu na kuleta longolongo kibao.So utaona kuna vitu anaviogopa yy na dereva wake kuhojiwa na ndo maana kelele na waandish wa hbr ni nyingi kuliko kutaka kuhojiwa na polisi. Kihoja na kuona kuna shida sehem ni kulilia kuhojiwa na polisi wa Kenya na sio Tanzania. Yaleyale,hakuna vifungu anavyowaambia zaid ya kukarrsha watu kuwa sheria inasema hivo.Yani Mtanzania akahojiwe Kenya then majibu ndo yaje Tanzania? Tanzania inawaamini weledi na ustad wa polisi wa Kenya? Je Kenya inauwezo wa kuhoji kwa usahihi na kwa kutumia au kurefer mazngira ya tukio lililotokea Tanzania?

Ukifikiri nje ya box utaona huyu bwana na genge lake kuna namna tukio wanalifanya mtaji wa kisiasa na wanajua kuhojiwa kwao ndio mwisho wa hii fursa.Kama hawahusiki na wako saf sioni logic ya kusumbua kuhojiwa na kulilia kupata majibu ya waliowashambulia.Anakuambia dereva atahojiwa hadi yy awepo na wakati huohuo anataka majibu nani kahusika wakati kwa akili ya kawaida uchunguz na majibu sahihi hayawez patikana bila wao kuhojiwa. Mimi mwenyewe Nina maswali mengi sana na yenye utata yani ni mengi kweli na inatakiwa wajibu na kuwakingia kifua naona ni upumbavu tu.
tangu muambiwe mjitokeze mitandaoni mnapost mashudu tu embu huu upuuz peleka Lumumba hirizi mkubwa wewe
 
tangu muambiwe mjitokeze mitandaoni mnapost mashudu tu embu huu upuuz peleka Lumumba hirizi mkubwa wewe
Hahahahahah mi najua bavicha hampendi kujadili kwa hoja zaid ya matusi.Hoja iko juu ya uwezo wako.
 
tangu muambiwe mjitokeze mitandaoni mnapost mashudu tu embu huu upuuz peleka Lumumba hirizi mkubwa wewe
Hahahahahah mi najua bavicha hampendi kujadili kwa hoja zaid ya matusi.Hoja iko juu ya uwezo wako.
 
Unashangaa nini au umetoka sayari ya 11? Bodaboda akikugonga na pikipika kama hujafa anakutibia. Ushajitoa ufahamu siku hizi.
 
Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.

Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.

Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.

Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!

Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.

Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.

Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.

Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.

Muwe na Jumamosi njema.

Pale hana la kusema ukiunganisha doti utapata jibu anza kwenye hotuba za Acacia na ile ndege yetu ya kule Canada utaona wapi tatizo•
 
Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.

Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.

Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.

Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!

Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.

Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.

Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.

Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.

Muwe na Jumamosi njema.
Hata siku huyo kipara atakapoamua kujibu mapigo sioni ni lipi la maana atakalosema na watu wakamuamini.
Hii kitu inamtafuna na itaendelea kumtafuna.
Cha msingi AKATUBU
 
Hayo akaeleze polisi sio kwa waandishi wa hbr.Kama hayo anayoyasema ni sahh shida ni nn kukwepa polisi?

..Polisi wanatakiwa wayafanyie kazi.

..haijalishi wamepelekewa taarifa hizo kwa njia rasmi, au la.

..Mwisho, TL alikuwa Nairobi kwa miezi zaidi ya 3. Hakuwa amejificha. Mamia ya waTz walikwenda kumuona na kuzungumza naye.

..Serekali na Polisi wanajua utaratibu wa kumhoji shahidi aliyeko nje ya nchi. Sheria zetu zinaelekeza AG atume maombi ktk nchi aliko shahidi huyo, ili ahojiwe na Polisi wa nchi hiyo.

..Sasa labda ungetueleza, kwanini AG wa Tz hakutuma maombi ili TL ahojiwe?!
 
Mtanzania ye yote hata kama ni mlala hoi kiasi gani ana haki sawa ya kutibiwa na hizo pesa ndani au nje ya nchi hii. Si sawa hata kidogo kwamba ni wabunge na vigogo tu ndizo fedha hizi zimetengwa kwa ajili yao. Watanzania wote wana haki sawa kutibiwa nje ya nchi kwa fedha hizi. Ili mtanzania ye yote bila kujali cheo chake aweze kupata haki hii ya kutibiwa nje ya nchi kuna utaratibu wa kisheria wa kufuata (regulation). Ni lazima jopo la madaktari bingwa kutoka kwenye hospitalu yetu ya Taifa wawe wamethibitisha kuwa maradhi ya mhusika nchi yetu haina uwezo wa kuyatibu na kwamba matibabu yanayopatikana nje ya nchi yatakuwa na manufaa kwa mgonjwa husika.

Shida inakuja pale wanasiasa wanapolazimisha kupelekwa kutibiwa nje ya nchi hata pale matibabu hayo hayo yanapatikana hapa hapa kwa quality ile ile. Au wanalazimisha kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu ya ugonjwa ambao hautibiki sehemu yo yote dunia hii. Wanaamini kuwa magonjwa yote yanatibika na kupona, kitu ambacho si kweli. Lazima watu wafe kwa magonjwa au kwa ajali. Lazima wengine wapate ulemavu wa kudumu kutokana na ajali au mashambulio kama ya risasi. Huwezi kukwepa hata uende ulaya. Science ni ile ile, uwe ulaya au Afrika.
Watanzania wote wana haki ya kukopeshwa shaningi?
Watanzania wote wana haki ya kutembea wakisindikizwa na ving'ora?
Watanzania wote wana haki ya kupata diplomatic passport?

Najua akili unayo, tatizo ni kupumbaa akili kwa mapenzi. Lissu anazungumzia haki yake kama mbunge na si uzwazwa unaojitolea fahamu. Unafikiri kwa nini anamuaddress spika wa bunge na si mtu mwingine?
 
Back
Top Bottom