Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

Aliyekudhuru ndo akuhudumie?

matibabu hayatoki kwa fadhira ya mtufulani yanatoka kw mujibu wa sheria na taratibu za nchi,so Lissu haombi kwa wale anaohisi wamemdhuru anaomba kwa mujibu wa kanuni na sheria za nchi kama ulivyo mshahara na stahiki zingine anazozipata Mjomba magu nk
 
mkuu nini pointi yako hasa ? unaamini hao aliowataja TL sio kweli wanahusika kwa namna moja? i wonder na wewe unaonekana kuwa upo upande wa mabwana wale wasiojulikana/// all in all kilichopo kwa sasa ni kuendelea kumuombea mgonjwa apone arudi kwenye majukumu yake ya kitaifa ya kila siku....... serikali ina mkono mrefu kuliko unavyodhani, gmorning
Ushauri mzuri sana..
Pia Lisu ushauri huu unamuhusu...
 
Nyani Ngabu Kumbuka matibabu anayoidai yapo kisheria na fedha za kumtibia ni za watanzania wote walipa kodi akiwemo yeye TL. Kwa kuwa fedha si za wana CCM na serikali matibabu ni haki yake. Na kama ni watumia wasemwe
 
Kwenye hili LISSU anakosea sana alitakiwa kuwa neutral kabsa na kuacha kupoint mtu direct eti ndio muhusika kwenye jaribio la kutaka kumuua...
kwanini nashauri alitakiwa kuwa NEUTRAL ni kwa sababu HATA HUKO CHADEMA hayupo salama kama adhaniavyo.....Aache kumwamini m/kiti wake wala Nyeupe......
Lissu nakushauri kuropoka jihadhari ADUI ZAKO una wajua vizuri....Na si MAGUFULI.....
Mpaka sasa hivi ni wewe ndio umeshikiria mustakabali wa MBOWE NA EL hapo chadema.....
Eti awe "nyutro" aogope nini kwa mfano!
 
Nyani Ngabu Komredi...

Mi sipendagi masiasa... na sikumsikiliza Lissu. Kwa kusomasoma nikadhani huyu kamanda alikuwa anajenga hoja kuwa... kwakuwa serikali na bunge havijagharamia chochote kwenye matibabu yake... basi ameunganisha nukta na kujisadikisha kuwa serikali ina mkono wake kwenye zile risasi 32.

Kwani "ameilaumu" serikali kwa kutochangia matibabu au "ameihusisha" serikali kwa kufurahia kucharangwa risasi kwa kugomea kuchangia gharama za matibabu?

Mi mgeni hapa. Haya mafisiemu na machagadema hayajawahi kunitoa kwenye hobby yangu pendwa ya kusarandia michuchu
 
Teh teh teh....nimeamua kuwatemesha nyongo aisee. Niwaharibie weekend yao.

I know them like the back of my hand. I know how to aggravate them. I’m a leading expert at it.

Hahahaaaaaa.
Ndo kusema bradha mzee wa hotlanta na Buza kwa mzee athumani umeamua kuwa mshika kibendera wa yule msee ama ndo unajaribu kung'ata huku na kule halafu kupulizia kotekote kuleta mizabia
 
Record imeshajisevu yenyewe kwenye Ardhi ya TZ, haitatokea hata kidogo umma wa wa TZ wakasahau uovu uliofanywa na JPM na CCM yake, kumtenda vibaya Mh.Lissu kwa kumgeuza Mlemavu baada ya jaribio la kumuua kushindikana. Mungu ni ngao na kinga ya maisha ya mwanadamu. Wauwaji watajitahidi sana kupanga uwongo, kupindisha ukweli na kusambaza propanganda chafu juu ya mpango wa jaribio la mauwaji ya Lissu lkn ndani ya Mioyo ya wa TZ, ukweli utabaki pale pale milele na milele, imesha kula kwao!
 
Kukataa kumuhudumia ndiyo kumedhihirisha kuwa CCM na serikali yake ndiyo imemmiminia Lisu risasi 38 kwenye nyumba za serikali baada ya kuwashinda kwa hoja.

Hii political assassination ni mistake itakayomganda Pombe katika maisha yake yote.
kwani kipi kilianza, kati ya kuituhumu serikali na serikali `kukataa' kumhudumia.
 
Back
Top Bottom