pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,242
Ila kweli Taifa linapita ktk kipindi kigumu, tupige goti tusali na kumuomba Mola wetu atuangalie kwa jicho lake lenye huruma ili tuweze kurudi ktk Utaifa wetu unaoporomoka kwa kasi.
kwani kipi kilianza, kati ya kuituhumu serikali na serikali `kukataa' kumhudumia.
Matusi ni dalili ya kuishiwa pumziYaani siku hizi una kipaji cha ujinga na upumbavu.
Haki ya mbunge Lissu ya kutibiwa na kuhudumiwa na bunge ni ya kikatiba na kisheria sio hisani ya mtu. Wajibu wa Polisi kupeleleza na kuwakamata wahusika ni wa lazima na sio kubembelezwa, iweje utuandikie shombo zako?
Magu, magu nini bana! Hata yeye ni mtumishi tunaye mlipa mshahara kama wakina Mugabe au Samwel Doe walivyokuwa wameajiriwa kwenye nafasi hizo sasa vitisho vya nini? Lissu kama kasema serikali inahusika hamaanishi officially maana kungekuwa na nyaraka za mpango wa tukio hilo, lakini ni watu wachache ndani yake ndio wahusika.
Lissu atatibiwa na atapona na hizo gharama zitajakuwa refunded hata kama ni baada ya 2020
Akikujibu nampa bukukwani kipi kilianza, kati ya kuituhumu serikali na serikali `kukataa' kumhudumia.
Komredi...
Mi sipendagi masiasa... na sikumsikiliza Lissu. Kwa kusomasoma nikadhani huyu kamanda alikuwa anajenga hoja kuwa... kwakuwa serikali na bunge havijagharamia chochote kwenye matibabu yake... basi ameunganisha nukta na kujisadikisha kuwa serikali ina mkono wake kwenye zile risasi 32.
Kwani "ameilaumu" serikali kwa kutochangia matibabu au "ameihusisha" serikali kwa kufurahia kucharangwa risasi kwa kugomea kuchangia gharama za matibabu?
Mi mgeni hapa. Haya mafisiemu na machagadema hayajawahi kunitoa kwenye hobby yangu pendwa ya kusarandia michuchu
Akifika huko ubelgiji wamtibu na ugonjwa wa akili
Usijitoe ufahamu ndg. Naomba urudie kusikiliza kauli za Ndugai, Ummy Mwalimu na Msemaji wa serikali huyo huyo aliye_tweet walisemaje kuhusu kumtibia Lissu.Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.
Sasa bana, jana Mh. Lissu kaongea na waandishi wa habari huko Nairobi, Kenya, ambapo kimsingi kamtuhumu rais Magufuli na CCM kuhusika moja kwa moja na hilo jaribio la mauaji dhidi yake.
Upande wa serikali naona umeamua kuchukua ‘the high road’ kwa kukataa kulumbana na ‘mgonjwa’, kama ulivyosomeka ule ujumbe wa msemaji wa serikali. Nikiri tu kuwa ule ujumbe ulinichekesha sana. Ulikuwa mfupi na wenye kueleweka.
Sasa kwa vile Mh. Lissu kaamua kutoa tuhuma zake hadharani namna ile, he is now fair game!
Yeye na makamanda wenzake hawaeleweki. Hawaeleweki kwa sababu, kwa upande mmoja wanadai kuwa serikali, rais Magufuli, vyombo vya dola, na CCM ndo walihusuka na mpango mzima. Na kwa upande mwingine wanalialia kuwa eti mpaka sasa bunge halijampa haki zake, mara sijui polisi hawafanyi uchunguzi wa nani aliyetaka kumuua na blah blah zingine kama hizo.
Ni dhahiri kuwa Lissu anaingiza siasa kwenye hizo tuhuma na shutuma zake. Vivyo hivyo, huenda hata upande wa serikali nao umeamua kucheza siasa.
Now it’s on. Nasubiri tu siku Magu aje alizungumzie hilo suala. Makamanda mtalia na kusaga meno maana bwana yule mdomo wake hauna breki.
Nyie chekeleeni tu hivyo vijembe vya huyo kamanda wenu Lissu kwa sasa. Lakini siku Magu atayoamua kujibu mapigo mtatafutana.
Muwe na Jumamosi njema.
Kusema Rais mdomo hauna chujio ni tusi kubwa.Hahaaa babu unacheka?
We subiri tu hiyo siku ya siku ifike....makamanda watatafutana humu!
Mdomo wa Magu hauna chujio ule.
Umemsoma yeye kasemaje? Ujinga sio matusiMatusi ni dalili ya kuishiwa pumzi
Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.

Wakutiliwa mashaka kwenye hili mpaka atakapojulikana mhusika ni:mkuu nini pointi yako hasa ? unaamini hao aliowataja TL sio kweli wanahusika kwa namna moja? i wonder na wewe unaonekana kuwa upo upande wa mabwana wale wasiojulikana/// all in all kilichopo kwa sasa ni kuendelea kumuombea mgonjwa apone arudi kwenye majukumu yake ya kitaifa ya kila siku....... serikali ina mkono mrefu kuliko unavyodhani, gmorning
Serikali haijakataa kuhudumia lisu. Ila nakumuka kaman lissu aliamriwa apelekwe muhimbili cdm wakagoma, na wakaamua kuagiza ndege kenya ikaja kumchukua wakati tanzania wakiwa wameshatuma ndege ya kuja kumchukua lissu. Na kesho yake tu kamanda mmoja hivi akasema hatuhitaji fedha ya serikali kwa matibabu ya mgonjwa, na hatuhitaji serikali ihusike na matibabu yake, bunge wakachanga pesa, kamanda yuleyule akasema hatuzihitaji. Na mwingine akaenda zaidi kwa kusema watauza figo zao ili wapate hela za matibabu hajui ya kwake imeathirika na drugs. Mambo yalipobana wakaanza kulaum oooh serikali mara hivi mara vile. Ngoja niwambie nyie nyumbu. Kama mngehitaji serikali ihudumia mbunge mngeacha matibabu yake yaratibiwe na serikali na sio nyie, hivyo mngekuwa na jukumu la kufuatilia tu maendeleo ya hali yake.Kukataa kumuhudumia ndiyo kumedhihirisha kuwa CCM na serikali yake ndiyo imemmiminia Lisu risasi 38 kwenye nyumba za serikali baada ya kuwashinda kwa hoja.
Hii political assassination ni mistake itakayomganda Pombe katika maisha yake yote.
Unayemtisha hajawahi kuogopa nyau wala kelele za chura , kama silaha za kivita zimeshindwa ndio itakuwa mdomo wa mtu ? Kingine ni hiki , hivi unachoshangilia kwenye haya mauaji ya Lissu ni kitu gani ? Yaani kwa mfano Lissu akiuawa wewe binafsi ama labda familia yako itafaidika na nini ?Nitangulize maneno machache juu ya ujinga [ujinga siyo tusi] wangu juu ya nani alihusika na jaribio la kutaka kuondoa uhai wa Tundu Lissu. Mimi sijui kabisa nani alihusika. Lakini pia najua tofauti kati ya kujua, kuhisi, kudhani, na kusadiki. Wenye akili mtakuwa mmenipata, natumai.