Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

Primitive technology,wengi wanakubali kuepuka ulemavu wakifika mahakamani ukana maelezo yao.
Lakini hawa waliohukumiwa si wangetumia trick hiyo?maana maelezo yaliyosomwa yanayodaiwa waliyatoa yalikuwa straight na smooth mno inaonekana wao hawakutaka kupata huo ulemavu na pia kuna sehemu karata zao hawakuzichanga vizuri yakawaumiza?

Huyu jamaa Mredii inaonekana alikaza mwanzo mwisho ila ndo hivyo wameshamtia kilema cha maisha amebaki kuwa mwanaume sarawali.
 
Teh teh hawakusimulia huko gereji kunafanana vipi? Hivi rungu za ugoko zinaweza mfanya mtu asitembee au kumfanya mtu akatoa mkojo mzito ?
Kuna jamaa yeye ni special kwa kupiga alipigiwa simu akaja ushaona mtu anatoa machozi bila sautii wakati Huyo viungo havina ushilikiano. Tulikuwa tunasikia kelele tu letwa ndani ikabidinifnye judi kutoka hata kwa dhamani mbanano ukiwa bwege unasogezwa kalibu na choo
 
Alafu alishaka kama gerezani kwa kosa la ujambazi....ndomana wazee walipona hakuna ushahidi wakamua kumtia kilema
Hawa wanakuwaga wajanja sana wanajua kukwepa mambo

Ova
Nafikiria huko uraiani yuko hatarini zaidi bora alivyokuwa huko gerezani. Awamu hii watu wa aina yake hawana nafasi katika jamii. Ipo siku utasikia kaingia kwenye 18 za wenye kazi zao. Huyu hawajamkosa kama wengi tunavyodhani. Ametolewa uraiani ili apate "sheria ya kitaa".
 
Sitaki Shari kuna sehemu pale polisi wanapaita msemakweli kwa wanaojua watafahamu namanisha nini!

Ova
Hahahhaha
Napakumbuka sana pale.
Dah!!
Kweli maisha ni mzunguko....sikutaraji kama kuna siku nitalala siku 12 selo ya Stakishari.

Ila nimejifunza jambo...askari ni watu wapole na wana utu kuliko tunavyodhani.
Niliamini baada ya kuwa pale na kuzoea mazingira ya Stakishari, kituo kinachoogopeka kuliko vyote Dar.
 
Mkuu weka maelezo kamili ili tujue tukifika huko staki Shari tunyooshe maelezo tu Kabla ya kufikiwa na Haya madhila , maana naamini torturing ni stage ya mwisho pale ushirikiano unapokosekana.

Usitoe info nusu nusu kama uko chini ya miti,[emoji2]
Nishawekwaga sitaki Shari nlimpa mtu vitasa sasa kuna jambazi alitolewa kwenye mtu huo kurudishwa lookup akawa hajiwezi ndani,kesho yake wakamuhamisha kwenda mabaToni kuendelea mpa matibabu zaidi Hyo ilikuwa miaka ya 2006....baba
Sasa kuna askari mmoja namjua pale nlikuwa naye kitaaa ndy alintonyaga kuhusu mti huo

Mimi nlikaaga pale Siku 4 madam
Majambazi sugu wote lazima Waletwe pale kwa kupewa dozi

Ova
 
Hivi kulazimishwa kulala ni mateso? Hayo mengime nimeelewa! Polisi wabadilike kumtesa mno mtu ambaye hajatiwa hatiani si vyema ona sasa hana kosa kabaki na ulemavu.
Nimeshangaa! Eti jitu zima linadeka kulazimishwa kulala!?
 
Nishawekwaga sitaki Shari nlimpa mtu vitasa sasa kuna jambazi alitolewa kwenye mtu huo kurudishwa lookup akawa hajiwezi ndani,kesho yake wakamuhamisha kwenda mabaToni kuendelea mpa matibabu zaidi Hyo ilikuwa miaka ya 2006....baba
Sasa kuna askari mmoja namjua pale nlikuwa naye kitaaa ndy alintonyaga kuhusu mti huo

Ova
Kuna mtu alinizingua nkamzingua zaidi jamaa wakawa wana force wanipeleke mahakamani nakumbuka kuna askari fulani walicheza nkatoka

Ova
 
Mie nilikaa siku 12.
Mpaka nikazoea mazingira kabisa.
Nikawa receptionist wa kuwapokea wanawake selo
Nliposema kuhusu mti msema kweli kuna watu humu Jf wataweza fiikiria masihara kumbe mambo ambayo yapo
Vp we ulikuwa na msala gani tena

Ova2
 
Nishawekwaga sitaki Shari nlimpa mtu vitasa sasa kuna jambazi alitolewa kwenye mtu huo kurudishwa lookup akawa hajiwezi ndani,kesho yake wakamuhamisha kwenda mabaToni kuendelea mpa matibabu zaidi Hyo ilikuwa miaka ya 2006....baba
Sasa kuna askari mmoja namjua pale nlikuwa naye kitaaa ndy alintonyaga kuhusu mti huo

Ova
Dah noma Sana...ila 2006, hadi Leo unakumbuka Bhas sio mchezo area Hiyo.
 
Mimi kwa kweli wanifunge tu maana nikiona tu koleo nataja yote mpk niliyopaswa nikatubu mbinguni,
Mkuu usiogope sana wakati mwengine unapokomaa ndio inakuwa salama yako tu-assume ingekuwa China wale jamaa wangeenda kunyongwa kweli on the spot ila jamaa karudi uraiani.

Hao wengine hawakutaka kuguswa ndo maana yamewakuta haya!
 
Kawaida tu mbona kitambo sehemu hizo tushapelekwa sana kwa makosa fulani ya kawaida th so Huko utakutana na vibweka

Ova
 
Hivi hakuna njia za kupata confession kutoka kwa mtuhumiwa tofauti na torturing?
uwezo wa migambo wetu kiupelelezi ni mdogo mno, bado wanatumia njia za kienyeji kiupelelezi.
Tz ukituhumiwa ni sawa na kuhukumiwa kwani utadhalilishwa sana
 
Mie nilikaa siku 12.
Mpaka nikazoea mazingira kabisa.
Nikawa receptionist wa kuwapokea wanawake selo
Kukaa siku 12 pale sio mchezo. Hakika wewe ni kidume zaidi ya vidume walamba lips wengi humu JF na mtaani.
Ninapafahamu vilivyo pale. Shughuli yake ni pevu kuliko upevu wenyewe. Nimekupa PhD ya heshima.
 
Mkuu weka maelezo kamili ili tujue tukifika huko staki Shari tunyooshe maelezo tu Kabla ya kufikiwa na Haya madhila , maana naamini torturing ni stage ya mwisho pale ushirikiano unapokosekana.

Usitoe info nusu nusu kama uko chini ya miti,[emoji2]
Utaingizwa vijiti mkunduni na hata kulawitiwa na wengi huuliwa hufa
 
Back
Top Bottom