Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
what happened btn you and my brother lols....Namaanisha mwanamke na watoto anao you think about the kids, their future, the society, and everything
what happened btn you and my brother lols....Namaanisha mwanamke na watoto anao you think about the kids, their future, the society, and everything
Wanasemaga either forgive or revenge... Forgiveness ni ngumu sanaa if something meant the world to you... U put all ur eggs in one basket unafanyajee when they all break?revengeeSure BAK kati ya vitu huwa namuomba Mungu anisaidie ni kutolipiza kisasi, naonaga ni upuuzi tu na kujiumiza, maana sidhani kama inasaidia chochote zaidi ya majuto tu.
Maisha yenyewe haya utalipiza kwa wangapi!!! Just let it go and move on.
Why is worse ?Kweli ni ngumu ila ukilipiza kisasi madhara yake ni kubaki bila hisia....which is worse
Wanaume wakitendwa wanavyolalamika khaaaah!!! Watalaani hadi mama zao, kuna wakati nachekaga kama mazuri. Wakati wahanga wakuu wa haya mambo ni wanawake lol.Yani ukiwasoma humu wanavyolalamika ha ha ha utafikiria si hao wanaokuwaga na michepuko kila kituo ...
Hutabaki na hisia hata moja....yani utakuepo kuepo tuWhy is worse ?
Hivi shetani ni jinsia gani?women are the roots of all evil.
Yah I agree,ideally km kuna tofauti ktkt mahusiano unapaswa kucommunicate na mwenza mzisolve huendi mbele na kumcheat pasina yeye kujua,ukute ni jambo rahisi akarekebishaWhatever 'kasoro' I had she never addressed them to me before screwing around.
Ujue hapa tunafundisha kupitia kisa cha huyu mwenzetu..Pole sana kwa yaliyokukuta Mkuu. Nilishawahi kumuona rafiki yangu mpenzi ambaye alikutana na situation kama yako na alishare kile kilichojiri katika mahusiano yake mpaka dada kumtema. Bahati mbaya sana wote tulikuwa waajiriwa wa sehemu moja. Huyo rafiki yangu jinsi alivyodeal na ile situation watu wote pale ofisini tulimshangaa sana lakini pia tulimsifia sana. Hakuonyesha chuki ya aina yoyote dhidi ya yule dada. Mimi ingenipa shida sana kusema kweli hasa nikitilia maanani jinsi walivyopendana kupita kiasi. Nilipata fundisho kubwa sana toka kwa huyu rafiki yangu ambaye pia alikuwa ni office mate.
Kupiga unaweza kupiga Mkuu lakini ujue unapokuwa na hasira za kupita kiasi unaweza ukajisahau ukarusha ngumi nzito, kichwa na teke binti kaanguka kimyaaa hatoi sauti. Inuka inuka na wewe ndiyo umeshaua hapo Mkuu na kujiharibia maisha yako yote.
Ni kweli binadamu huwa tuna njia mbali mbali za kudeal na haya mambo yanahusiana na mapenzi lakini pia ni vizuri kukumbuka repercussion zake. Unaweza kuamua kumpiga mtu si kwa nia ya kutaka kumuua lakini ikatokea akafa kufuatia kipigo chako. Pole sana Mkuu.
Na 1% ya wanaume wanaostahili kuwa waume, teh teh teeeeeeeh!!!!Hongera sanaa kwa kuamua kulea watoto wako na kuacha tungi
Hakuna umuhimu wowote wa kuoa siku hizi
Kwanza ni asilimia ndogo sanaaa ya mabinti wanaostahili kuwa wake
Wote hamjaridhika... Kama hutaki usingekuwa hata unawasiliana nae.Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Ujue hapa tunafundisha kupitia kisa cha huyu mwenzetu..
Funguka mkuu njia aliyoitumia huyo office mate mwenzako..
Mana wengine huwa hatupendi vurugu na mtu anayeitwa mwanamke, tunaamni ktk diplomatic way na vikwazo.
Kisa cha samson&delila dhidi ya wafilist si mnakijua.
Wafilist wapo arround the corner hasa kwenye hii sekta ya mapenzi.
Nimejifunza kwenye mapenzi usiwe umependa kupitiliza mpka kuwa mpole... Mfano kwenye business ikiwa atazingua kwenye usimamizi au mapato mchane on the spot tena siyo kwa kubembeleza... Nakuambia atakuwa na mipaka na heshima flani itakuwepo.
Hata ndani nikiona issue nilizomuagizia hajazitekeleza na sababu za kueleweka hana. Basi huwa naivaa ile kofia ya mwanaume kuwa kichwa cha familia... Nitadili mpaka consequence sipigi makelele wala ngumi ni vitendo tu na kumuambiwa ukweli wake kwa uso usiokuwa na chembe ya kubembelza hata kidogo... Upepo ndani unabadiliki mwenyewe anajua kuwa kuna kitu hakijaenda sawa.
Akifanya jambo ambalo amejiongeza basi huwa nampongeza... Namdekeza sometimes vijizawadi vya hapa na pale na sababu ya furaha yangu nahakikisha anaijua coz mimi siyo mnafiki mbele zake..
Dah sometimes unaweza ukinikuta nimechill nje namskia kwa ndani
''jamani nisipomaliza kazi za huyu Bwana humu ndani hakutakalika'' Mume wangu namjua hataki ujinga..
Mimi nikiropokewa mbele za watu ama akiwa anaongea sana tukiwa out hapo hapo naongea machche nampa ukweli wake then nasepaaaa. Sirudi nyuma.
Yani mimi namshukuru tu Mungu kwa hii roho ya uuguzi. Najua kuumia haswa, najua kulia mnoo and najua kusali huyo nikiwa na maumivu teh. Nikitoka hapo nimesamehe, sina kinyongo, nina amani yangu ya moyo. Hata tukikutana i wil give you a genuine hug na smile huyoo, unless uwe mpuuzi, ambapo itabidi tu nikuignore kikubwa (ila nshasamehe). Niache kupenda kisa mtu mmoja, na moyo wangu ulivyo na kiherehere hivi cha kupenda mweee. Revenge, Kukaa na maumivu au kinyongo, kunaumiza mnoo better kusamehe. No matter how long it will take, ntasamehe tu na Mungu azidi kunisaidia. Tena inabidi kujifunza kusamehe in advance, kwa amani ya moyo wako of course, sio kila atakayekukosea atakuomba msamaha.Sure BAK kati ya vitu huwa namuomba Mungu anisaidie ni kutolipiza kisasi, naonaga ni upuuzi tu na kujiumiza, maana sidhani kama inasaidia chochote zaidi ya majuto tu.
Maisha yenyewe haya utalipiza kwa wangapi!!! Just let it go and move on.
No i'll never revenge, na hii imenisaidia sana, maana mwisho wa siku mtu anajiona mpuuzi anakuomba msamaha mwenyewe. Sitolipiza kisasi.Wanasemaga either forgive or revenge... Forgiveness ni ngumu sanaa if something meant the world to you... U put all ur eggs in one basket unafanyajee when they all break?revengee
MI pia nkishindwa kusamehe I revenge
Hiyo ni kazi ya mungu kutokuwa na mama, kwani unauhakika gani angemuoa huyu demu wa kwanza angepata mtoto ?Hii leo unalea watoto hawana mama Tatzo lako ulipaniki sana
"..it is emotional thing.."
halafu unajiwekea hadi mipaka ya kupenda..like 60% .... really !!
aisee kuna mengi yakujifunza..!!
Hivi shetani ni jinsia gani?
No i'll never revenge, na hii imenisaidia sana, maana mwisho wa siku mtu anajiona mpuuzi anakuomba msamaha mwenyewe. Sitolipiza kisasi.
Kwakweli siwezi kuruhusu mtu mmoja aamue maisha yangu, neverrrrrrr!!!Yani mimi namshukuru tu Mungu kwa hii roho ya uuguzi. Najua kuumia haswa, najua kulia mnoo and najua kusali huyo nikiwa na maumivu teh. Nikitoka hapo nimesamehe, sina kinyongo, nina amani yangu ya moyo. Hata tukikutana i wil give you a genuine hug na smile huyoo, unless uwe mpuuzi, ambapo itabidi tu nikuignore kikubwa (ila nshasamehe). Niache kupenda kisa mtu mmoja, na moyo wangu ulivyo na kiherehere hivi cha kupenda mweee. Revenge, Kukaa na maumivu au kinyongo, kunaumiza mnoo better kusamehe. No matter how long it will take, ntasamehe tu na Mungu azidi kunisaidia. Tena inabidi kujifunza kusamehe in advance, kwa amani ya moyo wako of course, sio kila atakayekukosea atakuomba msamaha.