Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Ahaahahaha tatzo lenu ni Expectation af movie zinawaharibu sana mwsho wa siku kajiona mjaanja huyu 2017 kumbe bado anaugulia mpka leo ahahahahah ahahaha angekutana na mimi angejiua
Expetations za nini? Sidhani kama alijiona mjanja ndio maana mwishoni amesema best revange ni forgiveness, its like anajutia alichofanya and he isnt proud of it(ndivyo nilivyoelewa) maybe km lengo lake lilikuwa ni kujiona mjanja.
 
Mahusiano mengi kwa sasa ni mwiba aisee,yalinipata magumu katika mahusiano miaka kadhaa iliyopita,nikaja kumwaga nyongo humu,lakini kwa namna nlivyokuwa affected nilishindwa kumalizia kuisimulia,pole sana mkuu
 
Mambo ya kulipiza kisasi siyafagilii hata siku moja. Hayana maana kabisa. Unalipiza kisasi lakini baada ya muda unajiona ni mjinga tu unatamani kuomba msamaha lakini ndiyo umeshachelewa. Kuna siku unaweza kuwa na shida kubwa sana halafu unaambiwa nenda mahali fulani muone XYZ atakusaidia unafika pale unamkuta yule uliyemfanyia roho mbaya kuliko hata ya shetani ndiyo kajaa tele. KARMA is always a bitch will come back to bite you ASS. Ni bora tu kuondoka na mihasira hasira yako na kumwambia mtu ukweli halisi kwamba wewe na yeye basi badala ya kuanza kupanga strategies za kumkomoa.

Sometimes you have to give people the taste of their own medicine, im not blaming you for a revenge coz i know at least you feel released. Hata huyo amenenepa sababu ya stress, stress zinanenepesha so you won. Ila you guys jaribuni kuvaa kiatu cha mwanamke ambae umemsaliti halafu hana uwezo wa kukufanya chochote, yale maumivu ya ndani kwa ndani you can even rum mad, it real pains! Pole sana Mkuu! So what are your plans for the future? Are you still single or with someone? I think we can make a good couple as i have passed on the same situations and experienced enough! These r/ships has no formula, use your head but take your heart with you.
Sijaelewa unavyosema huna uwezo wa kufanya lolote, the least you can do is walk away.
My future plans is to build an empire with this kids, am happily married to these beautiful twins hapa.

BTW, your offer sounds tempting but nah, I'll pass.
 
Kwa wanawake wa siku hizi kuwala tigo ndo wanajua unampenda, huko mbele wameshajiharibu na madildo hadi basi, we mwanamke anataka show ya masaa matatu bila mapumziko.
Yaani ni shida.. Cjui ni nani aliyewaroga...
 
Sijaelewa unavyosema huna uwezo wa kufanya lolote, the least you can do is walk away.
My future plans is to build an empire with this kids, am happily married to these beautiful twins hapa.

BTW, your offer sounds tempting but nah, I'll pass.
Namaanisha mwanamke na watoto anao you think about the kids, their future, the society, and everything
 
Pole mkuu
forgive but don't forget.
Mwanamke ni kiumbe kibaya sana, hapo kaumbwa na mbavu za chobingo tu tena zile ambazo hazijakomaa lakini anajeuri, msaliti, punguani, nk
Imagine kama wangeumbwa kutoka walau sehemu ya juu ya mwili wa mwanaume let say walau ngozi ya kisogoni tu. Hizi takataka zingetusumbua sana.
 
Mahusiano mengi kwa sasa ni mwiba aisee,yalinipata magumu katika mahusiano miaka kadhaa iliyopita,nikaja kumwaga nyongo humu,lakini kwa namna nlivyokuwa affected nilishindwa kumalizia kuisimulia,pole sana mkuu
Duuuh!! Poleni sana mnao/mliopitia mahusiano machungu.
Wanasema hata dhahabu lazima ipitie ktk moto ili......
Kwahiyo wakati mwingine tunajifunza in a hard way, na maisha lazima yaendelee.

Usitumie tukio moja ama mtu mmoja kudefine maisha yako yooote, unapoanguka unainuka na kujipangusa then unachapa mwendo. Its hard ila ndio hauwezi kubadili hali ilokwishakutokea,ila usijinyime kupata furaha yako kwa kisa/mtu mmoja, hamkuzaliwa wote ati.
 
Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Wewe... Na ushamlisha yale madude yenu
 
Mambo ya kulipiza kisasi siyafagilii hata siku moja. Hayana maana kabisa. Unalipiza kisasi lakini baada ya muda unajiona ni mjinga tu unatamani kuomba msamaha lakini ndiyo umeshachelewa. Kuna siku unaweza kuwa na shida kubwa sana halafu unaambiwa nenda mahali fulani muone XYZ atakusaidia unafika pale unamkuta yule uliyemfanyia roho mbaya kuliko hata ya shetani ndiyo kajaa tele. KARMA is always a bitch will come back to bite you ASS. Ni bora tu kuondoka na mihasira hasira yako na kumwambia mtu ukweli halisi kwamba wewe na yeye basi badala ya kuanza kupanga strategies za kumkomoa.
Mkuu BAK nakuelewa sana, am not proud of what I did but at least it gave me peace at the time,I was a mess.
Tunatofautiana na kila MTU ana handle matatizo anavyoweza, naheshimu mawazo yako, i wouldn't mind if you handled the situation some other way,but that's you!!!!and who knows,maybe you are a wise man than me!
 
unaonaje Ukitubu kwa Mungu kwa Kumwingilia Mkeo mtarajiwa wako kinyume na maumbile?

Je! Unajua Dhambi hiyo ni Mbaya sana Mbele za Mungu kushinda hata kosa la aliyekuwa Mtarajiwa wako?

Je! Unajua Moyo wa kusamehe watokana na Mungu?

Na Moyo usio na Msamaha watokana na Shetani?

Umeshajiuliza kwamba Mungu Angekuesabia Makosa yako Je! Ungeweza kusimama Mbele zake?

Tafakari sana Maswali haya na Nenda kamwombe Yule Binti Msamaha.

Maana hujui ni kwa nini huyo mliyekutana nae Ulaya na kuzaa nae watoto wa 2 kwa nini alifariki? Hivi ulisha jiuliza hili swali?

Unajua ndugu nime kuuliza maswali haya kutokana na kwamba wengine Mapito yametutengeneza na kujifunza kumetupatia hekima.

Yumkini yule binti Alitubu mbele za Mungu, na akasamehewa na wewe umebaki na laana.

Tafakari sana ndugu na Mwombe Mungu Akusaidie sana Maana Shetani ni Mwongo na Baba wa uo.

Hivyo anaudanganya Moyo wako ili Akuangamize kabisa.

Mtafute Binti yule uliye mwingilia kinyume na maumbile Mwombe Msamahaa.

Na Mwachilie Moyoni na Mungu Atakusamehe.
 
Pole sana mkuu! Kwanza hongera kwa uvumilivu uliouonesha kwa mwanamke huyo kipindi unatafuta kujua ukweli wa jambo!
Adhabu uliyompa anastahili kupewa! Hata kama ningekuwa mimi haikuwepo namna nyingine zaidi ya maamuzi uliyoyachukua ila mi nisingeruka ukuta mengine yote sawa kabisa!
 
Back
Top Bottom