Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Swali hili lilielekeze kwa Sizonje. Maana yeye na mashetani damu damu hakawii kuwataja, hivyo bila shaka atakuwa anajua jinsia zao pia.

Yaani nimecheka kwa nguvu,BAK huu ni uchochezi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwakweli siwezi kuruhusu mtu mmoja aamue maisha yangu, neverrrrrrr!!!
Naumia,najutia,najitafakari,nasali, nasamehe, nasonga mbele.

Life is too short to hold grudges and to revenge, naamini revenge is for the weak.
Never say never mami,trust me HAYAJAKUKUTA...u will wonder what happened to misimamo yangu yote ile..maisha yana siri kubwa hasa hapa kwenye mapenzi
 
Si yeye ndiye kidogo mashetani, akigeuka huku mashetani akisimama mashetani. Bila ya shaka atakuwa nao karibu mno ndiyo sababu ya kuwataja taja kila mara LOL!

Yaani nimecheka kwa nguvu,BAK huu ni uchochezi.
 
Polee mkuu

Hata hisia za mapenzi huna?
Ama ndio kuhit and run?
Mkuu amekosea kuchukua namba halafu akazifuta,ilitakiwa usiku huo huo akarudishie revenge ile ile ya Zanzibar kwa mara ya ingine,tena sio kuruka ukuta tu ila kubomoa ukuta kabisa.
 
Ukishaweza kusamehe japo mara moja baada ya kuumizwa sana basi haikupi shida kabisa kusamehe tena na tena hata uumizwe vipi. Huo muda na nguvu unaotaka kurevenge si uelekeze sehemu nyingine ambayo itakuwa na manufaa kwako?

Never say never mami,trust me HAYAJAKUKUTA...u will wonder what happened to misimamo yangu yote ile..maisha yana siri kubwa hasa hapa kwenye mapenzi
 
Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Wewe ndio huridhiki mrembo.
 
Kwakweli siwezi kuruhusu mtu mmoja aamue maisha yangu, neverrrrrrr!!!
Naumia,najutia,najitafakari,nasali, nasamehe, nasonga mbele.

Life is too short to hold grudges and to revenge, naamini revenge is for the weak.
"You are not what has happened to you, you are what you chose to become". Dont you ever become who hurt you, no matter how hurt you're, dont allow the bitterness of this world change the person you are.

Kibinadamu ni ngumu Sana, kuna muda watu wanakuumiza hadi unakufuru, but tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu, mkabidhi tu hayo maumivu yako
Never say never mami,trust me HAYAJAKUKUTA...u will wonder what happened to misimamo yangu yote ile..maisha yana siri kubwa hasa hapa kwenye mapenzi
 
@2017achana na mambo ya kulipiza kisasi, endelea na maisha yako
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"You are not what has happened to you, you are what you chose to become". Dont you ever become who hurt you, no matter how hurt you're, dont allow the bitterness of this world change the person you are.

Kibinadamu ni ngumu Sana, kuna muda watu wanakuumiza hadi unakufuru, but tunayaweza yote katika yote atutiaye nguvu, mkabidhi tu hayo maumivu yako
Perfect theory, I can teach all day,ngoma kupractise mamaa...Acha tuu somethings in life nasubiria nkamuulize Mungu anipe clear reasons na picha zima ambalo silioni likichezwa duniani, fainali mbinguni...
 
Pole sana ila ungemwacha since day one ulivyokuwa umeshamjua kuwa ameanza.usaliti hiyo kumfanyia huo umafia its not fair coz huwezi jua na ww huko.mbeleni coz una watoto tayari what if akifanyiwa hayo.mtoto.wako ??? The only solution ilikuwa ni kusamehe and then you move on mkuu ila pole.sana hii ndiyo dunia!!!
 
Duuh watu makauzu Mkuu ina maana wewe ungetoa adhabu zaidi ya hiyo??
Mamii
Atashindwaje kuiacha? usikute yeye ndo kapropose kwa huyo basha wake ampe yeye hiyi Rav 4.

Usawa wenyewe huu wa Sizonje,..!
Daah mkuu,wewe una saikolojia kali sana tena saaaana,ukute kamwambia baby ile Rav 4 ya mke wako si unipe mimi?,nitakupa kitu roho yako inapenda au vipi?tena ile kila siku unaliliaga nakunyima,nakuahidi baby ile kitu ntakupa haki tena si utani.
 
Si yeye ndiye kidogo mashetani, akigeuka huku mashetani akisimama mashetani. Bila ya shaka atakuwa nao karibu mno ndiyo sababu ya kuwataja taja kila mara LOL!
 
Back
Top Bottom