Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
fursa hyo mwajuma hebu ongea nae vizuri ukalee mapacha
Hataki mlezi yeye awalete tu ntamlelea bure kabisa sihitaji hata kuonana naye[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] joke
fursa hyo mwajuma hebu ongea nae vizuri ukalee mapacha
Katika maisha huwezi kupata kila kitu, ndio maana kuna kitu inaitwa "kuridhika".
Kwahiyo kwa muda wooote huo alokuwa nae alikuwa hamridhishi? Au hakuweza kumridhisha kwakuwa sasa yupo sehemu nzuri? Asiye wa kuridhika sio wa kuridhika tu hata sio wa kutafuta visingizio.
Na kama huridhishwi si uongee na mpenzi wako mueleze akufanyie nini ili uridhike.
Cheeeeeh!!!
Kuchepuka hakuna justification ni uma.....ya tu.
Inchi 5-6???????? Ndo wanajisifu????
Am I having an argument with a 10 years old kid here???
"..it is emotional thing.."Sikiza mdogo wangu sivyo unavyo elewa. " Usipende Kupitiliza " meaning usimpe mtu moyo wako kiasi kwamba akawa na access to ur inner feelings and emotions na kuzi manipulate to her advantage, have room for urself cz u love urself more.
Its an emotional thing watoto hamwez elewa. [emoji23][emoji23]
kuna kauli nishawahi kusikiaKe na Me tuna matatizo wote Ke hawajui Me wanataka nini halikadhalika Me hawajui Ke wanataka nini!!! Tumebaki kulaumiana tu.....ule mstari Mungu aliosema Me waishi kwa akili na Ke sijui alimaanisha nini[emoji56] [emoji22]
Haya hongera...isije tu ikawa ni dada yako yule niliye break up nae. [emoji23][emoji23]"..it is emotional thing.."
halafu unajiwekea hadi mipaka ya kupenda..like 60% .... really !!
aisee kuna mengi yakujifunza..!!
Revenge is the best way to make peace of mind. Sio mimi ni Adolf HitlerYes, the best revenge is to forgive, but don't forget!
moyo wa kusamehe ni zawadi MAALUMU toka kwa mungu..!Mmh hamna kitu kizuri kama kusamehe ili kupata amani ya moyo....ukishindwa kusamehe hutakua na amani always na hutaweza sahau
Yes brother It's true kuna Me na Ke ambao hawafai kuoa/kuolewakuna kauli nishawahi kusikia
iliniingia akilini..
SIO KILA MWANAUME ANASTAHILI KUWA MUME
&
SIO KILA MWANAMKE ANASTAHILI KUWA MKE
mwanzoni nilichukulia ni maneno ya kawaida sana..
ila kadiri siku zinavyoenda nashuhudia matukio yanayoiPROVE RIGHT hiyo kauli..
MUNGU ATUONESHE NJIA...
The most open-minded woman I ever met,nimejifunza mengi kutoka kwake. Nilikutana nae nje akiwa anafanya masters yake,baada ya kuzoeana I told her my story!!! She'd usually say 'gym is the best therapy' tukawa tunafanya sana mazoezi at free days!!! Baada ya mwaka tukaanza intimate relationships(no string attached)...alikua nae kashapitia mengi hakutaka mahusianowhat happened to your baby Mama kama hutojali kushare na sisi...
Kabisa la sivyo anaweza hisi kalogwaTena ajiandae kisaikolojia na kimwili.
Pole sana vizuri havidumu sijui kwanini hii methali ninaiamini sana maana ndivyo ilivyoThe most open-minded woman I ever met,nimejifunza mengi kutoka kwake. Nilikutana nae nje akiwa anafanya masters yake,baada ya kuzoeana I told her my story!!! She'd usually say 'gym is the best therapy' tukawa tunafanya sana mazoezi at free days!!! Baada ya mwaka tukaanza intimate relationships(no string attached)...alikua nae kashapitia mengi hakutaka mahusiano
Well we had our twins, huku tukawa tunafanya kazi mikoa tofauti, I would spend every weekend with my family until she passed away,had a horrible car accident. We never took it further as she always considered me as a beloved friend and her kids dad(hii kitu ni ngumu kuelewa but we had the strangest relationship)
Deep down I knew that she loved me,maybe would have been married by now(who knows??) She means a lot in my life and making this twins happy is what I can do to repay her