Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Pole mkuu
forgive but don't forget.
Mwanamke ni kiumbe kibaya sana, hapo kaumbwa na mbavu za chobingo tu tena zile ambazo hazijakomaa lakini anajeuri, msaliti, punguani, nk
Imagine kama wangeumbwa kutoka walau sehemu ya juu ya mwili wa mwanaume let say walau ngozi ya kisogoni tu. Hizi takataka zingetusumbua sana.
Siamini kama umetoka kwenye uke wa mwanamke [emoji85] samahani mkuu pole aana
 
Daah Pole mno na hongera sanaa kwa mapacha
 
Pole sana kwa yaliyokukuta Mkuu. Nilishawahi kumuona rafiki yangu mpenzi ambaye alikutana na situation kama yako na alishare kile kilichojiri katika mahusiano yake mpaka dada kumtema. Bahati mbaya sana wote tulikuwa waajiriwa wa sehemu moja. Huyo rafiki yangu jinsi alivyodeal na ile situation watu wote pale ofisini tulimshangaa sana lakini pia tulimsifia sana. Hakuonyesha chuki ya aina yoyote dhidi ya yule dada. Mimi ingenipa shida sana kusema kweli hasa nikitilia maanani jinsi walivyopendana kupita kiasi. Nilipata fundisho kubwa sana toka kwa huyu rafiki yangu ambaye pia alikuwa ni office mate.

Kupiga unaweza kupiga Mkuu lakini ujue unapokuwa na hasira za kupita kiasi unaweza ukajisahau ukarusha ngumi nzito, kichwa na teke binti kaanguka kimyaaa hatoi sauti. Inuka inuka na wewe ndiyo umeshaua hapo Mkuu na kujiharibia maisha yako yote.

Ni kweli binadamu huwa tuna njia mbali mbali za kudeal na haya mambo yanahusiana na mapenzi lakini pia ni vizuri kukumbuka repercussion zake. Unaweza kuamua kumpiga mtu si kwa nia ya kutaka kumuua lakini ikatokea akafa kufuatia kipigo chako. Pole sana Mkuu.

Mkuu BAK nakuelewa sana, am not proud of what I did but at least it gave me peace at the time,I was a mess.
Tunatofautiana na kila MTU ana handle matatizo anavyoweza, naheshimu mawazo yako, i wouldn't mind if you handled the situation some other way,but that's you!!!!and who knows,maybe you are a wise man than me!
 
Pole Mkuu ila hawa viumbe hawanaga shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom