ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,716
- 5,283
Hebu tukumbushane hapa wadau ilikuweje mpaka ukajikuta unatembea na mpangaji mwenzako?
Yangu nakumbuka miaka ilee ya tamthilia ya sultan.
Yule mdada alikua anapenda sana kufatilia tamthilia ya sultan ilikua inaoneshwa na Azam tv.
Basi jumamosi ilikua ndio marudio ya tamthilia hiyo ya wiki nzima.
Alikua ananiomba funguo nikienda job ili awe anaangalia tu marudio ya tamthilia hiyo. Kazini ilikua nusu siku basi muda wote mawazo ni home tu niwahi kurudi ili nikajumuike na mpangaji mwenzangu.
Nikirudi napokelewa kama mume vile mwishowe nokaishia kuichapa tu.
Hayya tueleze ilikuwejekuweje ukaanza kujigijigi na mpangaji mwenzako? Tiririkia.