Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Pole sana mkuu mapenzi yanauma Sana yanaweza kukufanya ukawa mtu wa ajabu, nimejifunza kitu kwa kweli hakujua thamani yako na kuweza ila samehe tu na kusahau uwe huru
 
Mbona mwandiko kama wa mtu flan hivi wa mbele mwenye Jina la ndugu zetu katika evolution
 
Watu wengi tunashindwa kutofautisha kati ya:

Mtu mzuri, na
Mtu sahihi.

Ni wachache sana huwa wanaoa na kuoelewa na mtu sahihi.
 
Mimi mchepuko wangu ukifanyiwa kimbwanga kama hicho na jamaa yake mimi bado nitaupokea kwa mikono miwili!! .....Kwa hiyo Miss Natafuta wangu usirudi nyuma kutokana na huo mkwara ati tigo italiwa!
 
Yes....

Ila huyu mwanamke mwingine niliye nae sasa amenifanya ni recover 90% yule wa kule nimetokea kumdharau na kumchukia mno ingawa nimeshasamehe....ila kuna ile kitu moyoni nimeweka juu yake i.e.

" Your nothing, hata itokee unakufa hapo na matatzo/maradhi yako she can rot in hell for all that i care"

(na anajua sina hisia nae tena, kuna siku tulipishana sea cliff nikiwa na huyu mwanamke wangu wa sasa....alini salimia i ignored her nd gave her this very cold treatment and she felt it deep inside her i kno.)
U still love her man,why do u care abt what she feels... Nkiachana na mtu I care less wether anapata mazuri ama mabay,nikiwa bado namfeel nataftaga njia za kumkomoa,...such is life tho..realize what u feel, u will gain so much power the day u meet her and feel no urge to depress her o anything, rather say hi and walk away smiling wt ur arms on ur new lady's waist...
 
Kwa charactor yako na maelezo yako..Tunaelekeana Tabia kidogo..Congrats and live ur life Boss.
 
Pole sana ndg kwa mkasa uliokukumba kwenye mapenzi,pia hongera kwa uamuzi wa kumwacha huyo Dada kabla ya ndoa maana hafai kuwa mke.Ila sijapenda kitendo ulichomfanyia kumgeuza nyuma.
 
Hongera sanaa kwa kuamua kulea watoto wako na kuacha tungi

Hakuna umuhimu wowote wa kuoa siku hizi

Kwanza ni asilimia ndogo sanaaa ya mabinti wanaostahili kuwa wake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aisee!
Yani umemfumua fumua kiasi hicho?.Kama kweli hukuwa na matatizo basi alichezea bahati ya mtende...
 
The most open-minded woman I ever met,nimejifunza mengi kutoka kwake. Nilikutana nae nje akiwa anafanya masters yake,baada ya kuzoeana I told her my story!!! She'd usually say 'gym is the best therapy' tukawa tunafanya sana mazoezi at free days!!! Baada ya mwaka tukaanza intimate relationships(no string attached)...alikua nae kashapitia mengi hakutaka mahusiano

Well we had our twins, huku tukawa tunafanya kazi mikoa tofauti, I would spend every weekend with my family until she passed away,had a horrible car accident. We never took it further as she always considered me as a beloved friend and her kids dad(hii kitu ni ngumu kuelewa but we had the strangest relationship)

Deep down I knew that she loved me,maybe would have been married by now(who knows??) She means a lot in my life and making this twins happy is what I can do to repay her
May her soul rest in peace jmn... Nawish angebaki hai mkalea watoto perhaps angebadili mawazo mkapendana mana wote mnajua maumivu ya mapenzi mngeyajenga yenu vizuri
 
U still love her man,why do u care abt what she feels... Nkiachana na mtu I care less wether anapata mazuri ama mabay,nikiwa bado namfeel nataftaga njia za kumkomoa,...such is life tho..realize what u feel, u will gain so much power the day u meet her and feel no urge to depress her o anything, rather say hi and walk away smiling wt ur arms on ur new lady's waist...
"BADO ANAMPENDA"

it makes sense...
 
May her soul rest in peace jmn... Nawish angebaki hai mkalea watoto perhaps angebadili mawazo mkapendana mana wote mnajua maumivu ya mapenzi mngeyajenga yenu vizuri
Very true mkuu,ila ya Mungu hayana makosa
 
Mambo ya kulipiza kisasi siyafagilii hata siku moja. Hayana maana kabisa. Unalipiza kisasi lakini baada ya muda unajiona ni mjinga tu unatamani kuomba msamaha lakini ndiyo umeshachelewa. Kuna siku unaweza kuwa na shida kubwa sana halafu unaambiwa nenda mahali fulani muone XYZ atakusaidia unafika pale unamkuta yule uliyemfanyia roho mbaya kuliko hata ya shetani ndiyo kajaa tele. KARMA is always a bitch will come back to bite you ASS. Ni bora tu kuondoka na mihasira hasira yako na kumwambia mtu ukweli halisi kwamba wewe na yeye basi badala ya kuanza kupanga strategies za kumkomoa.
Sure BAK kati ya vitu huwa namuomba Mungu anisaidie ni kutolipiza kisasi, naonaga ni upuuzi tu na kujiumiza, maana sidhani kama inasaidia chochote zaidi ya majuto tu.

Maisha yenyewe haya utalipiza kwa wangapi!!! Just let it go and move on.
 
Ila Mkuu inabidi sasa uendelee na maisha yako. Inabidi uanze kufikiria kupenda tena na hivyo kumkaribisha binti mwingine kwenye maisha yako. Binti ambaye atakuwa tayari kuwapenda wanao bila ya kuwabagua kwa namna yoyote ile, it is not too late Mkuu to love and be loved again.

Sijaelewa unavyosema huna uwezo wa kufanya lolote, the least you can do is walk away.
My future plans is to build an empire with this kids, am happily married to these beautiful twins hapa.

BTW, your offer sounds tempting but nah, I'll pass.
 
Pole mkuu
forgive but don't forget.
Mwanamke ni kiumbe kibaya sana, hapo kaumbwa na mbavu za chobingo tu tena zile ambazo hazijakomaa lakini anajeuri, msaliti, punguani, nk
Imagine kama wangeumbwa kutoka walau sehemu ya juu ya mwili wa mwanaume let say walau ngozi ya kisogoni tu. Hizi takataka zingetusumbua sana.
'Takataka' aiseeee!!!
 
Back
Top Bottom