Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

Niaje wana JF..
Mwana wenu karudi tena..
Kama ilivokua kwa wimbo wa Mwana,Jf ndo ilikua ya kwanza kuupata kupitia mimi basi nimeona nisiwe mchoyo niwape tena huu wa Chekecha Cheketua..

Nimeusikiliza huu wimbo kama Wiki mbili hivi nimegundua ni sheedah nyngne hapa mjini..

Kwa taarifa tu ni kwamba Alikiba atazidi kukimbiza kwasababu ni msanii pekee mkubwa wa TZ ambaye bado anaimba mziki wa asili ya Bongofleva na sio ule WesternAfricaFleva(naija na ghana)..

Wakati wasanii wengi kwa sasa wakiiga vibwagizo vya Nigeria kama vile 'chai','sii' yeye akaona awe mbunifu na kubuni kibwagizo chake mwenyewe ambacho kwa sauti yake tamu hakuna msanii mwngne anaweza kukiiga 'yooo'..

baada ya wimbo wa Mwana kuna nyimbo mbili(HELA na WIFE WA DUNIA) za Alikiba zilichuja na kuwachanganya watu wakadhani ni official release wakati sio hivyo..

Nisiongee sana..
HERE IS ALI's NEW FLAGSHIP SONG..

Alikiba na huyu nani mkali
 

Attachments

  • 1425160893282.jpg
    1425160893282.jpg
    57.4 KB · Views: 356
Downers are everywhere....
Naona wazee wa breaking news wameamua kabisa kupiga kampeni eti Kiba kaiba beat!! Nawashauri waandamane mpaka BASATA
 
Huu wimbo mbna hauchezwi radioni. Upo ktk maandishi tu hapa JF.

AU NDO #NoseSinging

ha ha ha
 
Mtu huyi(alikiba) hata aingize mabilioni haji kiwatangazia hivo kamwe hutojua wimbo huu utamuingizia sh.ngapi..
Na hivi ndivyo mwanaume anavotakiwa kuishi,na sio ukinunua tu Iphone6 lazma utangaze..
We huko nyuma sana kwa maswala ya muziki kwani anauza mwenyewe nyumbani kwake au anawapa watu wamsambazie ???????? au unazani huko duniani kote wasanii wote uwa wanataka wajitangaze ila mazingira yapo wazi kila mtu anaweza kujua.halafu si kila msanii habari yake inauza wengine vimeo. na wengine habari zao ni utajiri nena kawaulize waandishi wa magazeti na blog.wengine hata akijitangaza si dili
 
We huko nyuma sana kwa maswala ya muziki kwani anauza mwenyewe nyumbani kwake au anawapa watu wamsambazie ???????? au unazani huko duniani kote wasanii wote uwa wanataka wajitangaze ila mazingira yapo wazi kila mtu anaweza kujua.halafu si kila msanii habari yake inauza wengine vimeo. na wengine habari zao ni utajiri nena kawaulize waandishi wa magazeti na blog.wengine hata akijitangaza si dili

Ally kiba hata akiwa na uhusiano na kim kardashian hakuna atakayejali
 
King Ali angehenda Zanzibar ajiunge na makundi ya taharabu tu, maana kazi ya bongo flava imemshinda.
 
hahaaaaaas haooo anti kibaaaaaaah
hhhhhhaaaaaaoooooooooo
 
Nyimbo nilivyoanza kuisikiliza mpaka mwisho makelele matupu. Yaani utadhani wakati anaingiza vocal ailkuwa amebanwa na mkojo! Please Kiba, this is not Kiba i know. Yani single ya 'Mwana' ilikuwa dhahabu ila hii ni Matope, Takataka kabisa.

Umeniangusha sana. Kumbe TID anaujua kweli mziki. Nakuomba Tafadhali usiitengenezee video.
 
Nyimbo nlivoanza kuisikiliza mpaka mwisho makelele matupu. Yani utadhani akati anaingiza vocal alkua amebanwa na mkojo.Please Kiba,this is not kiba i know.Yani single ya mwana ilikuwa dhahabu ila hii ni Matope....takataka kabisa. Umeniangusha sana.Kumbe TID anaujua kweli mziki.Nakuomba TAFAADHAL,Usiitengenezee video.

Unatokea mkoa gani
 
Kama mapenzi gorofa kkoo yamejaa....nyimbo nzuri bhana whu iz tid by the way???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom